CCM KATORO YAWAONYA WATU WALIOVAMIA ENEO LA CHAMA , YATOA WITO KWA WANANCHI
Автор: Storm FM Geita
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 105
Описание: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Katoro wilayani Geita mkoani Geita kimewataka wakazi wa eneo hilo kuacha tabia ya kuvamia maeneo ya chama yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji ili kuepusha migogoro isiyokuwa ya lazima.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: