GGML MENTORSHIP PROGRAM YAONGEZA UFAULU
Автор: Storm FM Geita
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 32
Описание: Programu ya uongozi na ushauri (mentorship) kwa wasichana wa shule za sekondari mkoani Geita inayoendeshwa na kampuni ya uchimbaji madini ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetajwa kuongeza kiwango cha ufaulu kwa wasichana katika shule za sekondari Nyalwanzaja na Kamena tangu ilipoanzishwa mwaka 2020.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: