KAMATI YA SIASA NYANG'HWALE YAKAGUA UJENZI WA MABWENI NA MIRADI YA MAENDELEO
Автор: Storm FM Geita
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 66
Описание: Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita imeridhishwa na ujenzi wa mabweni matatu katika Shule za Sekondari Nyang’hwale na Nyugwa ambapo miradi hiyo imegharimu zaidi ya Shilingi milioni 400.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: