DIWANI SUKAMBI AZINDUA NYANKUMBU YA KIJANI , MITI LAKI TANO ITAPANDWA , WANANCHI WAIKUBALI
Автор: Storm FM Geita
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 21
Описание:
Kata ya Nyankumbu, Manispaa ya Geita mkoani Geita, imezindua kampeni maalum ya upandaji wa miti zaidi ya laki tano katika taasisi mbalimbali pamoja na makazi ya wananchi, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Uzinduzi wa kampeni hiyo umefanyika leo Januari 21,2026 katika Shule ya Sekondari Mkolani, ukiongozwa na Diwani wa Kata ya Nyankumbu Paschal Kimisha Sukambi ambaye amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo ili kulinda mazingira na kuhakikisha ustawi wa kizazi cha sasa na kijacho.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: