MAFANIKIO YA ANNA BAADA YA KUPATA MKOPO WA MILIONI NNE NYANG'HWALE
Автор: Storm FM Geita
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 85
Описание:
Mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na serikali kupitia halmashauri za wilaya imekuwa kichocheo muhimu cha uchumi katika jamii baada ya wanufaika wa mikopo hiyo wilayani Nyang'hwale Mkoani Geita kuanza kutoa ushuhuda wa mafanikio waliyoyapata kupitia mikopo hiyo.
Anna Emmanuel Kutoka Kijiji cha Kayenze Kata ya Kafita wilayani Nyang'hwale Mkoani Geita ni miongoni mwa wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 baada ya kupata mkopo wa shilingi milioni nne, aliamua kuwekeza kwenye ufugaji wa kuku wa mayai.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: