UUNGANISHAJI WA UMEME WA GRIDI YA TAIFA WAFIKIA ASILIMIA 91 KATAVI.
Автор: Bugoma TV
Загружено: 2025-02-07
Просмотров: 88
Описание:
KATAVI :Mkuu wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi Majid Mwanga ametembelea na kukagua hii leo tarehe 07/2/2025 ujenzi wa mradi wa umeme wa gridi ya Taifa ambapo umefikia asilimia zaidi ya 91.
Majidi amewataka wakazi wa wilaya hiyo kujiandaa katika fursa ya uwekezaji wa viwanda.
Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO).
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: