DARAJA LAPASUKA NA KUKWAMISHA SHUGHULI ZA KIUCHUMI
Автор: Bugoma TV
Загружено: 2026-02-27
Просмотров: 70
Описание:
KATAVI: Daraja linalounganisha kijiji cha Karema na Itetemya kuelekea makao makuu ya wilaya limekatika baada ya mvua nyingi zinazoendelea kunyesha ambapo limekwamisha shughuli za kiuchumi kwa wananchi wa maeneo hayo.
Wananchi wao wamesema shughuli nyingi za uzalishaji zimekwama kwa sababu ya kukatika kwa daraja hilo ambapo wameiomba serikali kutengeneza haraka miundombinu hiyo iliyoharibika.
Mkuu wa mkoa wa Katani Mwanamvua Mrindoko amefika katika eneo hilo na ameagiza TANROADS kuhakikisha utengenezaji wa daraja hilo unafanyika haraka ili wananchi waweze kuendelea na shuguli zao ipasavyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: