'TOENI MIKOPO INAYOKIDHI' RC MRINDOKO.
Автор: Bugoma TV
Загружено: 2026-03-10
Просмотров: 2
Описание:
KATAVI: Wananchi katika halimashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi wanaendelea kujikwamua kiuchumi kutokana na mikopo ya asilimia kumi inayotokana na mapato ya ndani.
Mkurugenzi mtendaji wa halimashauri ya Mpimbwe Shamimu Mwariko amesema jumla ya milioni 365 zimetolewa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu huku mkuu wa wilaya ya Mlele alhaji Majid Mwanga akiwapongeza watumishi wa halimashauri hiyo kwa namna wanavyosimamia mapato.
Kupitia hali hiyo mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindo ameagiza halimashauri zote katika mkoa huo kujipanga namna ya kuanza kutoa mikopo zaidi ya uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: