BANDARI YA KAREMA YATOA NEEMA KWA WANANCHI.
Автор: Bugoma TV
Загружено: 2025-04-07
Просмотров: 656
Описание:
KATAVI : Baada ya bandari ya Karema kukamilika na kuanza shughuli zake mnamo mwaka 2022 ambapo bandari hiyo iko katika halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi sasa imeanza kutoa fursa kwa wananchi kwa kujipatia shughuli mbalimbali ikiwemo kupakia na kushusha mizigo.
Kupitia haki hiyo mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesimo Buswelu amewaalika wawekezaji kufika katika bandari ya Karema kwani kuna fursa za uwekezaji za aina mbalimbali ambapo meli aina ya Teza imetia nanga kwa lengo la kupakia mzigo wa tani 2300.
#twende bandar ya Karema
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: