ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

UJENZI MELI 4 ZA MIZIGO ULIPOFIKIA BANDARI YA KAREMA| MELI YA PILI MAKAA YA MAWE YAPAKIWA KAREMA

Автор: HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

Загружено: 2025-07-10

Просмотров: 8161

Описание: Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe.Onesmo Buswelu amefanya ziara katika ukanda wa Karema, ambapo ametembelea Bandari ya Karema na kujionea hali ya ujenzi wa meli nne (4) za mizigo ulipofikia.

Katika ziara yake iliyoambatana na Kamati ua Ulinzi na Usalama ya Wilaya, ameridhishwa na kasi ya ujenzi huo unaotumia wataalamu kutoka China na wafanyakazi wa ndani walionufaika kwa kupata ajira kutokana na ujenzi wa meli hiyo.

Sambamba na hilo Mhe Mkuu wa Wilaya aliweza kushuhudia upakiaji wa madini aina ya makaa ya mawe yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi, ikiwa ni mara ya pili kwa Bandari hiyo kusafirisha makaa ya mawe.

Akizungumza kwa niaba ya Meneja mradi wa ujenzi wa meli hizo, Mohammed Chande ambaye ni Afisa Utumishi, amesema kuwa kampuni hiyo imefanikiwa kutoa ajira kwa watu 30 ambao wanafanyakazi na kupata ujuzi mpya.

Nae wakala wa usafurishaji kampuni ya Over Seas ameishukuru Serikali ya Dkt Samia kufanikisha ujenzi wa bandari hiyo, ambayo imekuwa na msaada mkubwa sana katika kuongeza kipato na chanzo cha ajira kwa wananchi.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
UJENZI MELI 4 ZA MIZIGO ULIPOFIKIA BANDARI YA KAREMA| MELI YA PILI MAKAA YA MAWE YAPAKIWA KAREMA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

UJENZI WA MELI NNE,  AJIRA KWA  VIJANA.

UJENZI WA MELI NNE, AJIRA KWA VIJANA.

UJENZI WA DARAJA LA RELI GODEGODE - DODOMA, SULUHISHO LA RELI YA KATI KUSOMBWA NA MAJI

UJENZI WA DARAJA LA RELI GODEGODE - DODOMA, SULUHISHO LA RELI YA KATI KUSOMBWA NA MAJI

UJEMZI WA MELI NNE BANDARI YA KAREMA NEEMA KWA MKOA WA KATAVI-MAKAME MBARAWA

UJEMZI WA MELI NNE BANDARI YA KAREMA NEEMA KWA MKOA WA KATAVI-MAKAME MBARAWA

SGR TABORA - KIGOMA KAZI INAENDELEA, DARAJA LA MALAGARASI LAFIKIA 96%

SGR TABORA - KIGOMA KAZI INAENDELEA, DARAJA LA MALAGARASI LAFIKIA 96%

WAZIRI MBARAWA

WAZIRI MBARAWA

KATAVI: MELI NNE ZAJENGWA BANDARI YA KAREMA.

KATAVI: MELI NNE ZAJENGWA BANDARI YA KAREMA.

Путин резко меняет планы / Срочный приказ президента

Путин резко меняет планы / Срочный приказ президента

Meli ya MV MWANZA Kazini

Meli ya MV MWANZA Kazini

WABUNGE WATEMBELEA BANDARI YA KAREMA ZINAKOJENGWA MELI KUBWA NNE

WABUNGE WATEMBELEA BANDARI YA KAREMA ZINAKOJENGWA MELI KUBWA NNE

TAZAMA SGR INAYOJENGWA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA

TAZAMA SGR INAYOJENGWA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA

Mradi wa Kimataifa wa Mawasiliano na Uchukuzi  katika Ziwa Victoria wafika asilimia 98

Mradi wa Kimataifa wa Mawasiliano na Uchukuzi katika Ziwa Victoria wafika asilimia 98

BANDARI YA KAREMA YAANZA KWA KISHINDO KIKUBWA, DC BUSWELU ASHUHUDIA USAFIRISHAJI WA MAKAA YA MAWE.

BANDARI YA KAREMA YAANZA KWA KISHINDO KIKUBWA, DC BUSWELU ASHUHUDIA USAFIRISHAJI WA MAKAA YA MAWE.

BANDARI YA KAREMA YATOA NEEMA KWA WANANCHI.

BANDARI YA KAREMA YATOA NEEMA KWA WANANCHI.

BANDARI YA KAREMA YAKAMILIKA..

BANDARI YA KAREMA YAKAMILIKA.. "MELI ZA MSCL ZASUBILIWA KUCHANGAMSHA BIASHARA"

MAGEUZI YA KATIKA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)

MAGEUZI YA KATIKA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

BARABARA, RELI KIKWAZO MAENDELEO YA BANDARI YA KAREMA

BARABARA, RELI KIKWAZO MAENDELEO YA BANDARI YA KAREMA

BANDARI YA KAREMA SASA IKO TAYARI KUTOA HUDUMA NDANI NA NJE YA TANZANIA

BANDARI YA KAREMA SASA IKO TAYARI KUTOA HUDUMA NDANI NA NJE YA TANZANIA

Hatua za mafanikio   Bandari ya MpigaDuri

Hatua za mafanikio Bandari ya MpigaDuri

Внутри тюремной реабилитации Талибана для наркозависимых

Внутри тюремной реабилитации Талибана для наркозависимых

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]