'MUWASA ONGEZENI JUHUDI'-RC MRINDOKO.
Автор: Bugoma TV
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 67
Описание:
KATAVI: Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amefika katika mradi wa maji miji 28 unaotekelezwa katika manispaa ya Mpanda ambapo ameagiza kwa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mpanda kuongeza juhudi ili kukamilisha mradi huo ili wananchi waachane na maji ya mgao.
Mhandisi Irene Lukindo amesema mradi inasaidia ya asilimia 55 na endapo utakamilika utazalisha lita za maji milioni 12 kwa siku ambayo itakua zaidi ya hitaji la wananchi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: