ZAIDI YA BILIONI 229 ZAENDELEA KUTEKELEZA MIRADI MBALMBALI
Автор: Bugoma TV
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 205
Описание:
KATAVI: Katika kuhakikisha wananchi wanaitambua vyema miradi inayotekelezwa na serika, mkuu wa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi Jamila Yusuph ameshirikiwa makundi mbalimbali wakiwemo wazee, viongozi wa dini, viongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa maafisa usafirishaji lengo likiwa ni kuona na kutembelea baadhi ya miradi katika wilaya hiyo.
Katika hatua hiyo Jamila amewaomba wananchi hao kuwa mabalozi wazuri wa kusema yale yaliyo mema huku akisisitiza utunzaji wa miradi hiyo.
Kwa upande wao washiriki wa ziara hiyo wamefurahishwa na kujiridhisha kwa kuona miradi mizuri ambapo wameahidi kwenda kuwa mabalozi wazuri katika kusema utekelezaji wa miradi katika wilaya ya Mpanda.
Aidha mkuu wa wilaya hiyo Jamila Yusuph amesema kwa kipindi cha miaka minne ya utawala wa rais Dkt Samia Suluhu Hassano jumla ya bilioni 229 zinaendelea kutekeleza miradi mbalimbali.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: