ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

RC MRINDOKO AAGIZA WAFANYABIASHARA KATAVI KUTOPANDISHA BEI WAKATI WA MFUNGO WA KWARESMA NA RAMADHANI

Автор: KATAVI RS

Загружено: 2026-02-19

Просмотров: 6

Описание: Wakati waumini wa dini za Kikristo na Kiislamu wakiingia katika kipindi cha mfungo wa Kwaresma na Ramadhani, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko, amewataka wafanyabiashara kuhakikisha hawapandishi bei za bidhaa, akisisitiza kuwa mkoa wa Katavi una chakula cha kutosha na bidhaa zinapatikana kwa urahisi.

Akizungumza leo, Februari 19, 2025 wakati wa mkutano wake na wafanyabiashara wa Soko Kuu la Manispaa ya Mpanda, RC Mrindoko amesema lengo la kufika sokoni hapo ni kusikiliza kero na changamoto wanazopitia wafanyabiashara pamoja na kufuatilia mwenendo wa bei za bidhaa baada ya kuanza kwa mfungo wa Kwaresma na Ramadhani.

“Nasisitiza wafanyabiashara muendelee na bei zilezile za awali. Mkoa wa Katavi hauna njaa, chakula kipo cha kutosha na hakuna sababu ya kupandisha bei,” amesema RC Mrindoko.

Akiongeza kuwa Serikali haitavumilia upandishaji holela wa bei, huku akiwataka wananchi kutoa taarifa mara moja endapo watakutana na ongezeko la ghafla la bei sokoni.

“Mteja akiona bei imepanda bila sababu, atoe taarifa mara moja kwa mamlaka husika ili hatua zichukuliwe,” amesisitiza.

Katika hatua nyingine, Mkuu wa Mkoa amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda kuhakikisha kuwa ifikapo Machi 19, 2026, soko hilo linakuwa limefanyiwa ukarabati, akieleza kuwa msimu wa mvua umebainisha changamoto ya mapaa yanayovuja na kuathiri shughuli za biashara.

RC Mrindoko ametumia fursa hiyo kuwatakia waumini wote wa dini za Kikristo na Kiislamu mfungo mwema wa Kwaresma na Ramadhani, akiwataka kuendelea kudumisha amani, mshikamano na upendo katika kipindi chote cha ibada.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RC MRINDOKO AAGIZA WAFANYABIASHARA KATAVI KUTOPANDISHA BEI WAKATI WA MFUNGO WA KWARESMA NA RAMADHANI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

RC MRINDOKO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MATENGENEZO YA BARABARA YENYE THAMANI YA BILIONI 1.6

RC MRINDOKO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MATENGENEZO YA BARABARA YENYE THAMANI YA BILIONI 1.6

RC MRINDOKO AWAOMBA WANANCHI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA, ASEMA MKOA WA KATAVI UKO SALAMA

RC MRINDOKO AWAOMBA WANANCHI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA, ASEMA MKOA WA KATAVI UKO SALAMA

Taarifa Njema; Humphrey Pole Pole Apatikana alipo na akiwa hai; Samia mashakani sasa kwa utekaji

Taarifa Njema; Humphrey Pole Pole Apatikana alipo na akiwa hai; Samia mashakani sasa kwa utekaji

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Februari 21, 2026 hai, Kilimanjaro

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Februari 21, 2026 hai, Kilimanjaro

RACHEL DANGWA ATOWA UKWELI KWA KUJIFICHA KWA SUMAI

RACHEL DANGWA ATOWA UKWELI KWA KUJIFICHA KWA SUMAI

EPISODE 31: SHAHIDI AFANDE ABANWA HADI KIJASHO KACHANGANYIKIWA HADI KAOMBA MSAADA KWA MAJAJI! MMH

EPISODE 31: SHAHIDI AFANDE ABANWA HADI KIJASHO KACHANGANYIKIWA HADI KAOMBA MSAADA KWA MAJAJI! MMH

RC MRINDOKO AKAGUA DARAJA LA IKONDAMOYO, ATOA WITO WA ULINZI NA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU.

RC MRINDOKO AKAGUA DARAJA LA IKONDAMOYO, ATOA WITO WA ULINZI NA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU.

SERIKALI YAKAGUA MASOKO KATAVI, YASISITIZA USAFI NA BEI STAHIKI ZA BIDHAA.

SERIKALI YAKAGUA MASOKO KATAVI, YASISITIZA USAFI NA BEI STAHIKI ZA BIDHAA.

Азаров: Исчезновение Украины через пять лет - почему у страны больше нет будущего

Азаров: Исчезновение Украины через пять лет - почему у страны больше нет будущего

MKOA WA KATAVI WAZINDUA MRADI WA KULINDA IKOLOJIA

MKOA WA KATAVI WAZINDUA MRADI WA KULINDA IKOLOJIA

JADĘ ELEKTRYCZNĄ CIĘŻARÓWKĄ w TRASĘ!

JADĘ ELEKTRYCZNĄ CIĘŻARÓWKĄ w TRASĘ!

Przedwojenna Kronika lat 30 – Odcinek I

Przedwojenna Kronika lat 30 – Odcinek I

WAZIRI DKT. HOMERA ASISITIZA HUDUMA ZA KISHERIA NA UWAJIBIKAJI, VIONGOZI MKOA WA KATAVI WAPONGEZWA

WAZIRI DKT. HOMERA ASISITIZA HUDUMA ZA KISHERIA NA UWAJIBIKAJI, VIONGOZI MKOA WA KATAVI WAPONGEZWA

AIBU ILIYO JIRI KUTOKA KWA ICC NA SAMIA LEO

AIBU ILIYO JIRI KUTOKA KWA ICC NA SAMIA LEO

ASKOFU GAMANYWA ASIMULIA MAZITO YALIYOMKUTA MAREKANI NI BALAA  AISEEE

ASKOFU GAMANYWA ASIMULIA MAZITO YALIYOMKUTA MAREKANI NI BALAA AISEEE" MAREKANI SIO MBINGUNI"

PART 31-KIMBEMBE! UKWELI WAANZA KUJITOKEZA! SHAHIDI ASHINDWA KUJIBU MASWALI MUHIMU YA TUNDU LISSU

PART 31-KIMBEMBE! UKWELI WAANZA KUJITOKEZA! SHAHIDI ASHINDWA KUJIBU MASWALI MUHIMU YA TUNDU LISSU

Zajazd Polskie Drogi - to miał być najlepszy schabowy? po Kuchennych Rewolucjach/ Oddaszfartucha

Zajazd Polskie Drogi - to miał być najlepszy schabowy? po Kuchennych Rewolucjach/ Oddaszfartucha

RC MRINDOKO AAGIZA HATUA KALI KUFUATIA UCHELEWAJI WA MRADI WA DARAJA LA MIRUMBA.

RC MRINDOKO AAGIZA HATUA KALI KUFUATIA UCHELEWAJI WA MRADI WA DARAJA LA MIRUMBA.

🔴#🅻🅸🆅🅴 : RAIS SAMIA ATOA MAANGIZO HAYA KWA JESHI LA POLISI TANZANIA

🔴#🅻🅸🆅🅴 : RAIS SAMIA ATOA MAANGIZO HAYA KWA JESHI LA POLISI TANZANIA

Sprawdzamy ceny w USA po powrocie | Życie w autobusie w USA

Sprawdzamy ceny w USA po powrocie | Życie w autobusie w USA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]