EPISODE 31: SHAHIDI AFANDE ABANWA HADI KIJASHO KACHANGANYIKIWA HADI KAOMBA MSAADA KWA MAJAJI! MMH
Автор: UHURU MEDIA ONLINE
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 40069
Описание:
Shahidi wa 15 wa jamhuri koplo Amani Ambae ni askari wa polisi na anafanyia kazi kituo cha polish kati mbeya mjini ametoa ushahidi wake katika kesi hii inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu lissu KESI ya uhaini Leo 20 February 2026 na kufanyiwa cross examination fatilia mwanzo mwisho yaliyojili mahakamani
#mahakamani #chadema #tundulissu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: