ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

RC MRINDOKO AWAOMBA WANANCHI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA, ASEMA MKOA WA KATAVI UKO SALAMA

Автор: KATAVI RS

Загружено: 2025-11-04

Просмотров: 1164

Описание: Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko, amewahakikishia wananchi wa mkoa huo kuwa hali ya usalama imeendelea kuwa shwari na amani imetamalaki katika maeneo yote ya mkoa, hivyo hakuna sababu ya kuwa na hofu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake, RC Mrindoko amewaomba wananchi wa Katavi kuendelea na shughuli zao za kila siku kama kawaida, ikiwemo kilimo, biashara na kazi nyingine za uzalishaji, huku akisisitiza kuwa serikali inaendelea kufuatilia kwa karibu kuhakikisha utulivu unaendelea kudumu.

“Nawaomba wananchi wa Katavi muendelee na shughuli zenu za kila siku kwa utulivu. Mkoa wetu uko salama, na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo kazini usiku na mchana kuhakikisha hali hiyo inaendelea kuwa ya kawaida,” alisema RC Mrindoko.

Ameeleza kuwa tangu kipindi cha uchaguzi kumalizika, mkoa wa Katavi umeendelea kuwa mfano wa amani na mshikamano, hali inayotokana na ushirikiano mkubwa kati ya wananchi na serikali.

Aidha, Mkuu wa Mkoa amewataka viongozi wa maeneo, watumishi wa umma pamoja na watoa huduma za kijamii kuendelea kutoa huduma kwa wananchi katika sekta zote muhimu kama afya, elimu, maji na kilimo bila ubaguzi.

Amesisitiza pia umuhimu wa wananchi kuwa makini na kutojihusisha na taarifa au propaganda zinazoweza kuleta taharuki, na badala yake kutoa taarifa mapema kwa vyombo vya usalama endapo watabaini viashiria vya uvunjifu wa amani.

Vilevile, RC Mrindoko amewataka wafanyabiashara kutokutumia nafasi ya changamoto zilizojitokeza katika baadhi ya mikoa mingine kama kigezo cha kupandisha bei za bidhaa na mazao, akisisitiza umuhimu wa kufanya biashara kwa uadilifu na uzalendo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RC MRINDOKO AWAOMBA WANANCHI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA, ASEMA MKOA WA KATAVI UKO SALAMA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Самый острый нож в мире! Удивительный мастер по разделке гигантского голубого тунца,Роскошная посуда

Самый острый нож в мире! Удивительный мастер по разделке гигантского голубого тунца,Роскошная посуда

HECHE ATUA MSIBA WA MAMA MZAZI NA SINDA WAOMBOLEZAJI WAMSHANGILIA NA KUMWAGA MACHOZI

HECHE ATUA MSIBA WA MAMA MZAZI NA SINDA WAOMBOLEZAJI WAMSHANGILIA NA KUMWAGA MACHOZI

SERIKALI YAKAGUA MASOKO KATAVI, YASISITIZA USAFI NA BEI STAHIKI ZA BIDHAA.

SERIKALI YAKAGUA MASOKO KATAVI, YASISITIZA USAFI NA BEI STAHIKI ZA BIDHAA.

“Телефондон уруксат сурагыдай мен жаш кыз эмесмин”

“Телефондон уруксат сурагыдай мен жаш кыз эмесмин”

MWENGE WA UHURU KATAVI 2025: RC MRINDOKO ATOA WITO WA UMOJA NA USHIRIKI MKUBWA KWA WANANCHI.

MWENGE WA UHURU KATAVI 2025: RC MRINDOKO ATOA WITO WA UMOJA NA USHIRIKI MKUBWA KWA WANANCHI.

MAHAKAMA INA WAJIBU MKUBWA WA KUTOA HAKI

MAHAKAMA INA WAJIBU MKUBWA WA KUTOA HAKI

RC MRINDOKO AKABIDHI OFISI YA MACHINGA NA MAAFISA USAFIRISHAJI.

RC MRINDOKO AKABIDHI OFISI YA MACHINGA NA MAAFISA USAFIRISHAJI.

MAPYA! MWANZA YAIBUKA KINARA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KITAIFA/RC MTANDA ATUMA SALAMU ZA PONGEZI

MAPYA! MWANZA YAIBUKA KINARA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KITAIFA/RC MTANDA ATUMA SALAMU ZA PONGEZI

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KATAVI WAPEWA NGUVU MPYA KUFUNGUA FURSA ZA ZABUNI KWA MAKUNDI MAALUM

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KATAVI WAPEWA NGUVU MPYA KUFUNGUA FURSA ZA ZABUNI KWA MAKUNDI MAALUM

43 БЕЗУМНЫХ ТРЮКА, КОТОРЫЕ ДЕЙСТВИТЕЛЬНО РАБОТАЮТ

43 БЕЗУМНЫХ ТРЮКА, КОТОРЫЕ ДЕЙСТВИТЕЛЬНО РАБОТАЮТ

Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha

Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha

TANGANYIKA IKO TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI 2026.

TANGANYIKA IKO TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI 2026.

RC MRINDOKO ASHIRIKI NGUVU KAZI JUENZI WA SHULE MPYA

RC MRINDOKO ASHIRIKI NGUVU KAZI JUENZI WA SHULE MPYA

RC MRINDOKO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MATENGENEZO YA BARABARA YENYE THAMANI YA BILIONI 1.6

RC MRINDOKO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MATENGENEZO YA BARABARA YENYE THAMANI YA BILIONI 1.6

RC MRINDOKO AKABIDHI HUNDI YA SHILINGI BILIONI 1.7 KWA WANANCHI WALIOPISHA ENEO LA UPANUZI WA CHUO.

RC MRINDOKO AKABIDHI HUNDI YA SHILINGI BILIONI 1.7 KWA WANANCHI WALIOPISHA ENEO LA UPANUZI WA CHUO.

HII NDIO KAULI YA SERIKALI  KUELEKEA MSIMU WA SIKUKUU 2025/2026.

HII NDIO KAULI YA SERIKALI KUELEKEA MSIMU WA SIKUKUU 2025/2026.

RC MRINDOKO AAGIZA HATUA KALI KUFUATIA UCHELEWAJI WA MRADI WA DARAJA LA MIRUMBA.

RC MRINDOKO AAGIZA HATUA KALI KUFUATIA UCHELEWAJI WA MRADI WA DARAJA LA MIRUMBA.

WAZAZI PELEKENI WATOTO SHULE RC  SENDIGA

WAZAZI PELEKENI WATOTO SHULE RC SENDIGA

'ASIYEPELEKA MTOTO SHULE  KUSAKWA-RC MRINDOKO

'ASIYEPELEKA MTOTO SHULE KUSAKWA-RC MRINDOKO

MANENO YA MWENYEKITI KWENYE BARAZA LA MADIWANI

MANENO YA MWENYEKITI KWENYE BARAZA LA MADIWANI

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]