WAZIRI MKUU KUWASILI KATAVI MARCH 12/2026
Автор: Bugoma TV
Загружено: 2026-03-11
Просмотров: 65
Описание:
KATAVI: Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania DK Mwigulu Nchemba anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Katavi kuanzia siku ya tarehe 12/03/2026 ambapo atatembelea miradi mbalimbali ikiwemo miradi ya maji na barabara.
Mkuu wa mkoa wa Kati Mwanambaya Mrindoko amesema ziara hiyo itakua ya kukagua na kutembelea miradi sanjari na kuzungumza na wananchi, ambapo atatembelea halimashauri zote tano za mkoa huo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: