Serikali yawaonya wanaoghushi uhamisho
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-09-15
Просмотров: 2523
Описание:
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amebaini kuwepo kwa watumishi wanaoshirikiana na baadhi ya maofisa wa Serikali kughushi nyaraka mtandaoni ili kufanikisha uhamisho wa vituo vya kazi
#AzamTVUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: