Jinsi wanahabari watakavyoinogesha AFCON 2027 –VIWANJANI 16/02/2026
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-02-16
Просмотров: 128
Описание:
Mchambuzi wa soka Andrew Kingamkono kupitia kipindi cha #Viwanjani ametoa maoni yake kwa waandishi wa habari kuelekea AFCON 2027.
Kingamkono amesema wanahabari ni kiungo muhimu hivyo watumike kama daraja ili kuwalisha wananchi matukio muhimu yanayoendelea.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: