Mchambuzi wa soka afafanua sababu za Pacome kucheza chini ya kiwango mechi na AS FAR
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 2852
Описание:
YANGA vs JS KABYLIE: “Hii mechi inamhitaji Pacome…..?”
Mchambuzi wa soka na mtangazaji @leomusikula_tz anachambua sababu na namna nyota wa Yanga SC, Pacome Zouzoua alivyocheza katika mechi dhidi ya AS FAR na namna ambavyo atacheza leo dhidi ya JS Kabylie pale New Amaan Complex.
Yanga leo itacheza mchezo wake wa mwisho wa hatua ya makundi na mechi itapigwa saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports2HD
#YangaSC #CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: