Simba SC 3-0 Greenland FC | Highlights | CRDB Bank Fed. Cup 17/02/2026
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 131537
Описание:
Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 na kutinga ya 32 bora kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
Magoli yametoka kwa Baraka Mwangosi, Anthony Mligo na Neo Maema.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: