Magoli na Mikwaju ya Penati | KMC 3-3 Bandari SC (Pen: 2-3) | CRDB Bank Fed. Cup 17/02/2026
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 13744
Описание:
KMC FC imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa penati 3-2 dhidi ya Bandari SC Tanzania kutoka Mtwara inayoshiriki First League.
Hii ni baada ya sare ya mabao 3-3 katika dakika 90 ambapo KMC walitangulia kupitia kwa Akram Mhina, Frank Kondo na Juma Sagwe lakini Bandari wakaweka mizani sawa kupia kwa Haruna Shmate na Fredy Mwamakula aliyetia kamba mbili…
Tazama hapa magoli yote sita pamoja na penati tisa, KMC wakifunga mbili na kukosa tatu… Bandari wamefunga tatu na kukosa moja.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: