Kocha Gamondi asaini mkataba kuinoa Taifa Stars; Waziri Makonda, Karia wazungumza.
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-02-16
Просмотров: 1045
Описание:
Kocha Miguel Gamondi amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars).
Akizungumza katika hafla fupi ya utiaji saini wa mkataba huo, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Gamondi amestahili mkataba huo baada ya kuonesha uwezo katika michuano ya AFCON 2025 iliyofanyika Morocco hivi karibuni na kuingoza Taifa Stars kufika hatua ya 16 ya michuano hiyo kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania akiwa kocha wa muda.
“Serikali sasa imeamua kumwajiri rasmi ili aiongoze timu hiyo katika jitihada za kunyakua ubingwa wa AFCON 2027, ambapo Tanzania itakuwa mwenyeji wa mashindano hayo,” amesema Makonda.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: