ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMEBELEA MRADI WA UJENZI CATC

Автор: Tanzania Civil Aviation Authority - TCAA TV

Загружено: 2026-03-16

Просмотров: 59

Описание: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imetembelea Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kwa lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi wa Majengo ya Kisasa ya Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC) yaliyopo Banana–Ukonga, jijini Dar es Salaam.

Ziara hiyo ya kikazi iliongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Selemani Kakoso, ambapo wajumbe wa Kamati walipata fursa ya kukagua hatua mbalimbali za utekelezaji wa mradi na kujionea hali ya maendeleo ya ujenzi unaoendelea.

Katika ziara hiyo, Kamati ilipongeza jitihada za TCAA katika kusimamia utekelezaji wa mradi huo na kuisisitiza Mamlaka kuendelea kumsimamia kikamilifu mkandarasi anayetekeleza ujenzi ili kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati na kwa kuzingatia viwango vilivyokubalika.

Kwa upande wake, Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, alisema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuwekeza katika sekta ya usafiri wa anga kupitia ujenzi, ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya anga pamoja na kuimarisha mifumo ya usimamizi, akibainisha kuwa rasilimali watu yenye ujuzi wa hali ya juu ni msingi wa ukuaji na usalama wa sekta hiyo.

Akizungumza kwa upande wa TCAA, Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Salim Msangi alibainisha kuwa CATC ina upekee wa kimkakati kwa kuwa ni miongoni mwa vyuo tisa barani Afrika vinavyotambuliwa katika kutoa mafunzo ya usalama wa usafiri wa anga, hali inayoliweka Taifa katika nafasi muhimu ya kikanda na kimataifa katika ukuzaji wa utaalamu wa anga.

“Mradi huu unaimarisha nafasi ya CATC kama kitovu cha ubora wa mafunzo ya usalama wa anga barani Afrika na ni uwekezaji wa moja kwa moja katika usalama na maendeleo endelevu ya sekta ya usafiri wa anga nchini,” alisema.

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006).

Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege.

Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndege kwenye vituo vya ndege kumi na nne (14) ambavyo ni: Dar es Salaam, Kilimanjaro,Tanga, Arusha, Mwanza,Tabora,Kigoma, Dodoma, Iringa, Songwe, Songea, Mtwara, Zanzibar na Pemba

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMEBELEA MRADI WA UJENZI CATC

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

PROF.MBARAWA ARIDHISHWA NA MRADI WA UJENZI WA CATC, ASISITIZA UBORA NA KUAKISI THAMANI YA FEDHA

PROF.MBARAWA ARIDHISHWA NA MRADI WA UJENZI WA CATC, ASISITIZA UBORA NA KUAKISI THAMANI YA FEDHA

KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMEBELEA MRADI WA UJENZI CATC

KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMEBELEA MRADI WA UJENZI CATC

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yafanya Ziara ya Kikazi TCAA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yafanya Ziara ya Kikazi TCAA

TCAA YAANDAA IFTAR MAALUM KWA WATOTO WENYE UHITAJI

TCAA YAANDAA IFTAR MAALUM KWA WATOTO WENYE UHITAJI

Почему река Лена - самая ЖУТКАЯ Река в Мире

Почему река Лена - самая ЖУТКАЯ Река в Мире

Зачем Токаев переписал конституцию Казахстана? | Подкаст «Что это было?»

Зачем Токаев переписал конституцию Казахстана? | Подкаст «Что это было?»

SAFARI  YA MIKUMI

SAFARI YA MIKUMI

⚡️ Украина ударила по технике НАТО || У Путина экстренно просят помощь

⚡️ Украина ударила по технике НАТО || У Путина экстренно просят помощь

HAKI ZA MSAFIRI

HAKI ZA MSAFIRI

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

RITA YAVUNJA BODI YA WADHAMINI YA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO TANZANIA

RITA YAVUNJA BODI YA WADHAMINI YA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO TANZANIA

UJENZI WA MELI NNE,  AJIRA KWA  VIJANA.

UJENZI WA MELI NNE, AJIRA KWA VIJANA.

TESLA УНИЧТОЖАЕТ РЫНОК — дом за 7 999 долларов разворачивается за часы и меняет всё!

TESLA УНИЧТОЖАЕТ РЫНОК — дом за 7 999 долларов разворачивается за часы и меняет всё!

СКРЫТЫЕ ПРИМЕНЕНИЯ WD-40, О Которых Механики Никогда Не Расскажут — Вы Будете Очень Удивлены

СКРЫТЫЕ ПРИМЕНЕНИЯ WD-40, О Которых Механики Никогда Не Расскажут — Вы Будете Очень Удивлены

Z-блогеры против Путина. Трамп, НАТО и ошибка. Взрывы в Краснодаре. Россия и война в Иране | Утро

Z-блогеры против Путина. Трамп, НАТО и ошибка. Взрывы в Краснодаре. Россия и война в Иране | Утро

Заставят работать! Беларусам больше не дадут сменить работу. Что задумали власти? // Новости

Заставят работать! Беларусам больше не дадут сменить работу. Что задумали власти? // Новости

TIKETI YAKO HAKI YAKO - MWANZA

TIKETI YAKO HAKI YAKO - MWANZA

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA 6 WA USALAMA WA ANGA AFRIKA MASHARIKI

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA 6 WA USALAMA WA ANGA AFRIKA MASHARIKI

TCAA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA YA NDEGE NYUKI KATIKA KILIMO

TCAA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA YA NDEGE NYUKI KATIKA KILIMO

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AKIWASILISHA MUSWADA WA SHERIA JUNE 5, 2025  BUNGENI JIJINI, DODOMA.

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AKIWASILISHA MUSWADA WA SHERIA JUNE 5, 2025 BUNGENI JIJINI, DODOMA.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]