ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA 6 WA USALAMA WA ANGA AFRIKA MASHARIKI

Автор: Tanzania Civil Aviation Authority - TCAA TV

Загружено: 2024-04-15

Просмотров: 55

Описание: Mkutano wa sita wa Taasisi inayosimamia Ulinzi na Usalama wa Usafiri wa Anga Afrika Mashariki (CASSOA) unatarajia kufanyika kuanzia tarehe 15 hadi 16 Mei 2024 , katika Hoteli ya Verde visiwani Zanzibar.

Mkutano huo utawakutanisha wadau muhimu wa Usafiri wa Anga ikiwa ni pamoja na makampuni ya ndege, viwanja vya ndege, wasimamizi na wadau wa usalama katika sekta ya anga kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo pia wajumbe watajadili maswala ya utunzaji wa mazingira.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari amesema mikutano ya EAC Aviation ilianzishwa na Bodi ya EAC-CASSOA kama njia ya kuongeza uelewa juu ya maswala yanayoathiri Usalama wa Usafiri wa Anga katika kanda yetu wa Africa Mashariki na Duniani kwa ujumla.

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006).

Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege.

Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndege kwenye vituo vya ndege kumi na nne (14) ambavyo ni: Dar es Salaam, Kilimanjaro,Tanga, Arusha, Mwanza,Tabora,Kigoma, Dodoma, Iringa, Songwe, Songea, Mtwara, Zanzibar na Pemba

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA 6 WA USALAMA WA ANGA AFRIKA MASHARIKI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

#9 Keeping Citizens Healthy at EAC Airports During COVID-19

#9 Keeping Citizens Healthy at EAC Airports During COVID-19

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yafanya Ziara ya Kikazi TCAA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yafanya Ziara ya Kikazi TCAA

SEHEMU YA KIPINDI CHA POWER BREAFAST CLOUDS FM 03/12/2024

SEHEMU YA KIPINDI CHA POWER BREAFAST CLOUDS FM 03/12/2024

75TH YEAR OF FACILITATION DOCUMENTARY

75TH YEAR OF FACILITATION DOCUMENTARY

Mkurugenzi Mkuu TCAA Ndg.Hamza Johari Akizungumza Katika Kipindi Cha Tunatekeleza TBC ONE

Mkurugenzi Mkuu TCAA Ndg.Hamza Johari Akizungumza Katika Kipindi Cha Tunatekeleza TBC ONE

Manuel Tiago Dias - Governador do BNA | Fórum CEO's DFI da SADC

Manuel Tiago Dias - Governador do BNA | Fórum CEO's DFI da SADC

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AKIWASILISHA MUSWADA WA SHERIA JUNE 5, 2025  BUNGENI JIJINI, DODOMA.

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AKIWASILISHA MUSWADA WA SHERIA JUNE 5, 2025 BUNGENI JIJINI, DODOMA.

Przedwojenna Kronika lat 30 – Odcinek I

Przedwojenna Kronika lat 30 – Odcinek I

WAFANYA KAZI WA JIJI LA DODOMA WAFANYA MATENDO YA HURUMA DODOMA-RRH

WAFANYA KAZI WA JIJI LA DODOMA WAFANYA MATENDO YA HURUMA DODOMA-RRH

Mahojiano Radio 5 Kuhusu Haki za Msafiri na Mtumiaji wa Usafiri wa Anga

Mahojiano Radio 5 Kuhusu Haki za Msafiri na Mtumiaji wa Usafiri wa Anga

TCAA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA YA NDEGE NYUKI KATIKA KILIMO

TCAA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA YA NDEGE NYUKI KATIKA KILIMO

Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara 2024/2025

Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara 2024/2025

HAKI ZA MSAFIRI

HAKI ZA MSAFIRI

2026 ICAO Air Law Treaty Workshop Tanzania (Third Edition)

2026 ICAO Air Law Treaty Workshop Tanzania (Third Edition)

ODM linda mwananchi rally: Sifuna-Babu wave sweeps Kakamega as police pushed out of Amalemba venue

ODM linda mwananchi rally: Sifuna-Babu wave sweeps Kakamega as police pushed out of Amalemba venue

TIKETI YAKO HAKI YAKO - MWANZA

TIKETI YAKO HAKI YAKO - MWANZA

João Salvador Quintas - CEO do BDA | Fórum CEO's DFI da SADC

João Salvador Quintas - CEO do BDA | Fórum CEO's DFI da SADC

TCAA SPORTS BONANZA

TCAA SPORTS BONANZA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mundurume umwe kuhunduka na mucii thutha wa gutungata kioho kia miaka 18

Mundurume umwe kuhunduka na mucii thutha wa gutungata kioho kia miaka 18

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]