ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

TCAA YAANDAA IFTAR MAALUM KWA WATOTO WENYE UHITAJI

Автор: Tanzania Civil Aviation Authority - TCAA TV

Загружено: 2026-03-15

Просмотров: 45

Описание: Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeandaa futari maalum kwa watoto wenye uhitaji kutoka Kituo cha Kulea Watoto wenye Uhitaji cha Zili, tukio lililolenga kuimarisha mshikamano wa kijamii na kuendeleza ujumuishi kwa makundi yenye mahitaji maalum.

Hafla hiyo ilifanyika katika Makao Makuu ya TCAA jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na wadau wa sekta ya usafiri wa anga, watumishi wa TCAA pamoja na watoto wenye uhitaji. Wageni walishiriki futari kwa pamoja na watoto hao, pamoja na kukabidhi zawadi kama ishara ya upendo, mshikamano na uwajibikaji wa kijamii.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile, aliyemwakilisha Waziri wa Uchukuzi, alipongeza jitihada za TCAA katika kuchangia maendeleo ya jamii akisisitiza umuhimu wa taasisi za umma kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii, hususan zinazolenga kuwajali watoto wenye uhitaji.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Salim Msangi alisisitiza kuwa pamoja na jukumu la kusimamia na kudhibiti sekta ya usafiri wa anga, mamlaka itaendelea kutekeleza miradi ya kijamii inayolenga kugusa maisha ya wananchi na kukuza maadili ya utu, mshikamano na usawa.

Kupitia futari hii maalum, TCAA imeendelea kudhihirisha kuwa sekta ya usafiri wa anga siyo tu kuhusu usimamizi na kanuni, bali pia ni chombo muhimu cha kujenga jamii jumuishi, yenye huruma na mshikamano.

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006).

Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege.

Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndege kwenye vituo vya ndege kumi na nne (14) ambavyo ni: Dar es Salaam, Kilimanjaro,Tanga, Arusha, Mwanza,Tabora,Kigoma, Dodoma, Iringa, Songwe, Songea, Mtwara, Zanzibar na Pemba

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
TCAA YAANDAA IFTAR MAALUM KWA WATOTO WENYE UHITAJI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

PROF.MBARAWA ARIDHISHWA NA MRADI WA UJENZI WA CATC, ASISITIZA UBORA NA KUAKISI THAMANI YA FEDHA

PROF.MBARAWA ARIDHISHWA NA MRADI WA UJENZI WA CATC, ASISITIZA UBORA NA KUAKISI THAMANI YA FEDHA

ОН УЕХАЛ В АМЕРИКУ, ОНА ОСТАЛАСЬ С РЕБЁНКОМ: ПРАВДА, КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ 20 ЛЕТ! Не того поля ягода

ОН УЕХАЛ В АМЕРИКУ, ОНА ОСТАЛАСЬ С РЕБЁНКОМ: ПРАВДА, КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ 20 ЛЕТ! Не того поля ягода

HAKI ZA MSAFIRI

HAKI ZA MSAFIRI

KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMEBELEA MRADI WA UJENZI CATC

KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMEBELEA MRADI WA UJENZI CATC

КОМОК и Слизь В ГОРЛЕ Это НЕ Простуда! Доктор Мясников

КОМОК и Слизь В ГОРЛЕ Это НЕ Простуда! Доктор Мясников

SAFARI  YA MIKUMI

SAFARI YA MIKUMI

🔥 НОВЫЙ ВЫСОКОБЮДЖЕТНЫЙ ФИЛЬМ! ОСНОВАН НА РЕАЛЬНЫХ СОБЫТИЯХ!

🔥 НОВЫЙ ВЫСОКОБЮДЖЕТНЫЙ ФИЛЬМ! ОСНОВАН НА РЕАЛЬНЫХ СОБЫТИЯХ! "Её Секрет" ВСЕ СЕРИИ ПОДРЯД

Самолёт главы страны уничтожен / Столица под ударом!

Самолёт главы страны уничтожен / Столица под ударом!

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yafanya Ziara ya Kikazi TCAA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yafanya Ziara ya Kikazi TCAA

75TH YEAR OF FACILITATION DOCUMENTARY

75TH YEAR OF FACILITATION DOCUMENTARY

🔥 BREAKING: TRUMP NGOMA YA IRAN IMEMSHINDA! AMEOMBA MSAADA KWA NATO | IRAN WAMEKAZA KICHWA

🔥 BREAKING: TRUMP NGOMA YA IRAN IMEMSHINDA! AMEOMBA MSAADA KWA NATO | IRAN WAMEKAZA KICHWA

KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMEBELEA MRADI WA UJENZI CATC

KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMEBELEA MRADI WA UJENZI CATC

TCAA SPORTS BONANZA

TCAA SPORTS BONANZA

Китай поднял боевую авиацию / Удары по военным объектам

Китай поднял боевую авиацию / Удары по военным объектам

DG TCAA: KUKAA PAMOJA KUNARAHISISHA HUDUMA SABASABA

DG TCAA: KUKAA PAMOJA KUNARAHISISHA HUDUMA SABASABA

Массовый забой скота. Протестам в России быть? Зачем Трампу Иран. Максим Шевченко: Особое мнение

Массовый забой скота. Протестам в России быть? Зачем Трампу Иран. Максим Шевченко: Особое мнение

UPETE AFUNGUKA SENEGAL WALIPASWA KUACHIWA UBINGWA WAO | AWASIFIU MOROCCO KWA KUTUMIA KANUNI VIZURI.

UPETE AFUNGUKA SENEGAL WALIPASWA KUACHIWA UBINGWA WAO | AWASIFIU MOROCCO KWA KUTUMIA KANUNI VIZURI.

Siku ya Wanawake Duniani: Neno La Mkurugenzi Mkuu

Siku ya Wanawake Duniani: Neno La Mkurugenzi Mkuu

TIKETI YAKO HAKI YAKO - MWANZA

TIKETI YAKO HAKI YAKO - MWANZA

TCAA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA YA NDEGE NYUKI KATIKA KILIMO

TCAA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA YA NDEGE NYUKI KATIKA KILIMO

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]