Nyimbo za Mungu 87 - Yote Ninayo Niliyapokea - Tabernacle de Kolwezi
Автор: Maranatha : Come, O Lord
Загружено: 2022-04-09
Просмотров: 2827
Описание:
Nyimbo za Mungu 87 - Yote Ninayo Niliyapokea - Tabernacle de Kolwezi
1.
Yote ninayo niliyapokea kwa wema wake unaoenea;
Mimi si kitu, namutegemea; nimeokolewa kwa ne-ema.
Chorus
Niliyekuwa nimetoroka, kwa pendo lake nimeokoka!
Yesu ni mwema na mwenye rehema. Nimeokolewa kwa ne-ema!
2.
Nilitembea zamani kwa zambi katika njia ya kufa, lakini
Yesu alinitafuta polini; nimeokolewa kwa ne-ema.
3.
Nimetakaswa na Yesu Mwokozi, si kwa matendo na si kwa machozi,
Ila kwa damu nina ukombozi; nimeokolewa kwa ne-ema.
4.
Raha ya mbingu imeni-ingia, kwa shangwe kubwa namufurahia.
Kwa kuwa Yesu ’nanirehemia; nimeokolewa kwa ne-ema.
Nyimbo za Mungu 87 - Yote Ninayo Niliyapokea - Tabernacle de Kolwezi
#Maranatha
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: