Mwamba uliopasuka - Nyimbo za Mungu 118 | Tabernacle de Kolwezi
Автор: Maranatha : Come, O Lord
Загружено: 2023-06-18
Просмотров: 5067
Описание:
Mwamba uliopasuka - Nyimbo za Mungu 118 | Tabernacle de Kolwezi
1.
Mwamba uliopasuka, ndani yako nijifiche;
Damu iliyomwangika toka mbavu zako, Bwana.
Iwe dawa kuponyesha roho yangu toka zambi
2.
Kazi za mikono yangu haziwezi kukomboa;
Hata ningelia sana na kutenda kazi nyingi,
Singeweza kuokoka, wewe pekee ni Mwokozi.
3.
Ndani yangu sina kitu, ninashika musalaba;
Mimi bule, univike; sina nguvu, usaidie;
Ni muchafu, unioshe; nisipate kupotea.
4.
Kwa maisha yangu yote hata nitakata roho,
Hata siku ya kuitwa mbele ya Mufalme wangu.
Mwamba uliopasuka, nijifiche ndani yako.
Below is the link to the video where the song was extracted:
• Видео
Mwamba uliopasuka - Nyimbo za Mungu 118 | Tabernacle de Kolwezi
#Maranatha
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: