🎶ASKARI WA MWOKOZI MIMI [N.M 212]_Tabernacle de KOLWEZI.
Автор: Salem Nsengiyumva
Загружено: 2025-05-26
Просмотров: 246
Описание:
212. NYIMBO ZA MUNGU
ASKARI WA MWOKOZI MIMI NA MUFUATA WAKE
1. Askari wa Mwokozi mimi na mufuata wake,
Sitaogopa kutangaza Jina la Mwokozi.
2. Sitaogopa majaribu na kupata taabu
Katika vita na makosa kwa ajili yake.
3. Nitapigana na adui na uwezo wake ;
Dunia inamuchukia Yesu Bwana wangu.
4. Ee Bwana, niwe muhodari, niwe mwaminifu,
Nibebe taabu na uchungu kwa ne-ema yako.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: