NINAFURAHIA KISIMA DAIMA 🎶 Cantique_Spécial : WOKOVU 274. 🎶🎵🎶🎵
Автор: Frank KADIATA TV
Загружено: 2022-03-06
Просмотров: 966
Описание:
WOKOVU 274. NINAFURAHIA KISIMA DAIMA
1. Ninafurahia kisima daima, kisima cha damu ya Yesu.
Katika upendo nalindwa salama, nasifu Mwokozi
mpendwa.
Kisima cha maji kinabubujika, kinaniletea
uzima. Na kando ya maji ninaburudika,
ninashangilia daima.
2. Nakaa karibu ya kisima hiki, naishi kwa maji ya 'hai.
Yananilietea kupita kipimo uzima na shangwe
rohoni.
3. Nakaa karibu ya kisima hiki, naishi katika uheri.
Ufike upesi ulie na kiu, kisima kinabubujika!
4. Nakaa karibu ya kisima hiki, naona furaha na raha.
Nakando ya maji nafasi kwa wote, waweza kupona
kabisa.
Emil Gustavsson, 1892
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: