'TUSHIKAMANE KUILINDA AMANI-DC JAMILA.
Автор: Bugoma TV
Загружено: 2025-11-20
Просмотров: 78
Описание:
KATAVI: Kamati ya amani ya wilaya ya Mpanda ikijumuisha viongozi wa dini na waandishi wa habari katika wilaya hiyo imefanya kikao maalumu cha kujadili na kuona namna bora ya kudumisha na kuendeleza amani iliyopo.
Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph ameshukuru viongozi hao kwa namna wanavyohanasisha amani katika wilaya hiyo.
Viongozi wa vyama vya siasa pamoja na wajumbe wa kamati ya amani wamesema kila mmoja anapaswa kuwa balozi wa amani ili kuodoa na kuepuka matukio ya kihalifu yanayoweza kujitokeza.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: