DC KAGANDA APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI HIFADHINI
Автор: A_MEDIA
Загружено: 2026-02-22
Просмотров: 68
Описание:
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emanuela Kaganda, amempiga marufuku mchimbaji wa madini, Juliana Lorry, kuendelea na shughuli za uchimbaji ndani ya eneo la Hifadhi ya Taifa ya Tarangire, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni kinyume cha sheria.
Agizo hilo limetolewa baada ya uongozi wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire kufika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kulalamikia uwepo wa shughuli za uchimbaji ndani ya mipaka ya hifadhi ambapo mkuu wa Hifadhi hiyo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi SAC Beatrice Kessy, amesema wamebaini kuwa eneo linalochimbwa ni sehemu ya hifadhi kisheria.
Kwa mujibu wa Ezekiel Davidi, Mwandisi Migodi kutoka Ofisi ya Madini Wilaya ya Babati, mtu yeyote anayetarajia kufanya shughuli za uchimbaji lazima awe na kibali halali kutoka kwa mmiliki wa eneo husika.
Mkuu wa Wilaya ya Babati Emanuela kaganda alipofika katika eneo Hilo kutatua mgogoro HUO kati ya hifadhi na mwekezaji huyo akatoa maagizo kwa mchimbaji huyo kutuendelea na shuhuli ya uchimbaji.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: