DKT. BASHIRU AHIMIZA USHIRIKIANO ULINZI WA RASILIMALI ZA UVUVI
Автор: Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 1601
Описание:
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewataka wadau wote wa sekta ya Uvuvi kushirikiana na Serikali katika ulinzi wa Rasilimali za Uvuvi ikiwa ni pamoja na kukomesha uvuvi usiofuata sheria na taratibu.
Balozi Dkt. Bashiru amesema hayo Desemba 23,2025 wakati akizungumza na wadau wa sekta hiyo waliopo mwalo wa Kakukuru Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza ambapo ameeleza kuwa katika kipindi cha uongozi wake hatochoma nyavu za Uvuvi au kupima samaki kwa rula kama ilivyokuwa awali.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: