ZIARA YA DKT. BASHIRU NA KAMANI KANDA YA ZIWA, PWANI NA MANYARA
Автор: Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Загружено: 2026-02-08
Просмотров: 818
Описание: Karibu kwenye Makala inayoangazia ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa na Naibu wake Mhe. Ng'wasi Kamani waliyoifanya kwenye mikoa ya kanda ya ziwa, Pwani, Lindi, Manyara na Singida kwa lengo la kukagua utekelezaji wa ahadi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za uongozi wake tangu alipochaguliwa Oktoba 29,2025.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: