ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

DKT. BASHIRU ACHARUKA WAFUGAJI KUJERUHI WAKULIMA IRAMBA

Автор: Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Загружено: 2026-01-10

Просмотров: 1088

Описание: Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amekasirishwa na kitendo cha wafugaji Wilaya ya Iramba mkoani Singida kuijeruhi vibaya kwa panga familia ya watu wawili wanaofanya shughuli za kilimo Wilayani humo.

Hayo yamefahamika alipofika Wilayani hapo Januari 10,2026 ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa ziara zake za kusikiliza na kutatua changamoto za wafugaji na wavuvi nchini ambapo mmoja wa wakulima wa Wilaya hiyo Bw. Mkoma Mustapha alielezea namna wafugaji walivyomshambulia yeye na mtoto wa kaka yake.

“Kwenye tukio hilo mimi nilipigwa mkononi na kuvunjika vidole vitatu na mguuni nilipigwa nikapasuka na mgongoni nikivua shati utanionea huruma na nilipotoka hospitali nikaenda polisi ili kujua hatma ya walionijeruhi nikajibiwa kwamba walionifanyia hivi imeshindikana kuwakamata” Ameeleza Bw. Mustapha.

Akizungumza mara baada ya kumsikiliza mkulima huyo, Balozi Dkt. Bashiru alielekeza Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Iramba igharamie matibabu yote ya Mkulima hiyo ikiwa ni pamoja na kurejesha gharama alizotumia mpaka sasa.

“La pili wote waliohusika kwenye tukio hilo watafutwe wakamatwe na wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria lakini tusichochee chuki kutokana na tukio hili” Amesema Balozi Dkt. Bashiru.

Aidha Balozi Dkt. Bashiru ameuelekeza uongozi wa kijiji, Mtendaji wa kata na polisi jamii wa eneo husika chini ya usimamizi wa Kamanda wa Polisi wa Wilaya hiyo kwenda kutoa elimu kwa wakulima na wafugaji kuhusu umuhimu wa kufanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria na kujizuia kuchukua sheria mkononi.

Akiwa Wilayani Mkalama kwenye kijiji cha Nyahaa eneo la Bukundi Balozi Dkt. Bashiru alipokea malalamiko ya baadhi ya wafugaji wa eneo hilo kuvamiwa na kupigwa na wafugaji wa Wilaya ya Meatu ambapo aliwaeleza wafugaji hao kuwa atafanya jitihada za kwenda kuzungumza na kuwasikiliza wafugaji wa upande wa Simiyu kabla ya kufanya uamuzi wa jambo hilo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
DKT. BASHIRU ACHARUKA WAFUGAJI KUJERUHI WAKULIMA IRAMBA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

ZIARA YA DKT. BASHIRU NA KAMANI KANDA YA ZIWA, PWANI NA MANYARA

ZIARA YA DKT. BASHIRU NA KAMANI KANDA YA ZIWA, PWANI NA MANYARA

PAPO KWA PAPO! DKT. BASHIRU AKITATUA CHANGAMOTO ZA WANUFAIKA WA VIZIMBA VYA SAMAKI MARA!

PAPO KWA PAPO! DKT. BASHIRU AKITATUA CHANGAMOTO ZA WANUFAIKA WA VIZIMBA VYA SAMAKI MARA!

#TBC: UCHUMI WA BULUU - ZANZIBAR

#TBC: UCHUMI WA BULUU - ZANZIBAR

DAKIKA 10 ZA HOJA NZITO, MHE  NG'WASI KAMANI AKIPANGUA MASUALI YA WABUNGE KUHUSU VIZIMBA VYA SAMAKI

DAKIKA 10 ZA HOJA NZITO, MHE NG'WASI KAMANI AKIPANGUA MASUALI YA WABUNGE KUHUSU VIZIMBA VYA SAMAKI

DKT. BASHIRU AANIKA MAENDELEO SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI BUNGENI

DKT. BASHIRU AANIKA MAENDELEO SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI BUNGENI

SITOWAVUMILIA WATENDAJI WAZEMBE KAZINI – DKT. BASHIRU

SITOWAVUMILIA WATENDAJI WAZEMBE KAZINI – DKT. BASHIRU

RUBAMBAGWE IKAMILIKE MACHI 30-DKT. BASHIRU

RUBAMBAGWE IKAMILIKE MACHI 30-DKT. BASHIRU

"MPINA TULIJUA NI MWENZETU" - ADO, KIKEKE AHOJI DOROTHY SEMU KUTOGOMEA URAIS, JE WALILINDA KURA?

DKT. BASHIRU ABAINI MADENI KWA WALINZI MNADA WA MIFUGO IGUNGA!

DKT. BASHIRU ABAINI MADENI KWA WALINZI MNADA WA MIFUGO IGUNGA!

#SHUHUDIA USHUSHAJI WA BOTI YA KILIMANJARO 9 ZNZ

#SHUHUDIA USHUSHAJI WA BOTI YA KILIMANJARO 9 ZNZ

MAGARI YALALA NJIANI KISA BARABARA- MAGAMBA -LUKOZI -WILAYANI LUSHOTO

MAGARI YALALA NJIANI KISA BARABARA- MAGAMBA -LUKOZI -WILAYANI LUSHOTO

HUZUNI! DADA WA TUNDU LISSU AFIKA MAHAKAMANI, ATEMA CHECHE BALAA, ATAKA AACHIWE,

HUZUNI! DADA WA TUNDU LISSU AFIKA MAHAKAMANI, ATEMA CHECHE BALAA, ATAKA AACHIWE, "SIO MUHAINI"

🚨 IT’S OVER! Orengo & Sifuna DEFY Oburu in Busia! The Moment ODM Split in Two 😱🔥

🚨 IT’S OVER! Orengo & Sifuna DEFY Oburu in Busia! The Moment ODM Split in Two 😱🔥

MAKONDA awapa onyo kali watumishi wa WIZARA, awakata kuvaa vizuri, aahidi kuib adilisha wizara

MAKONDA awapa onyo kali watumishi wa WIZARA, awakata kuvaa vizuri, aahidi kuib adilisha wizara

SERIKALI YAELEZA MKAKATI WA KUENDELEZA MINADA YA MIFUGO NCHINI

SERIKALI YAELEZA MKAKATI WA KUENDELEZA MINADA YA MIFUGO NCHINI

MAAFISA MIFUGO NA UVUVI WAFUATENI WAFUGAJI,WAVUVI WALIPO-KAMANI

MAAFISA MIFUGO NA UVUVI WAFUATENI WAFUGAJI,WAVUVI WALIPO-KAMANI

KAMANI ATAJA MIKAKATI YA SERIKALI KUONGEZA MALISHO YA MIFUGO

KAMANI ATAJA MIKAKATI YA SERIKALI KUONGEZA MALISHO YA MIFUGO

DMO AINGIA KWENYE 18 ZA MWENEZI KENANI KIHONGOSI AMBANANISHA VIKALI ''HATUNA MUDA WA KUBEMBELEZANA''

DMO AINGIA KWENYE 18 ZA MWENEZI KENANI KIHONGOSI AMBANANISHA VIKALI ''HATUNA MUDA WA KUBEMBELEZANA''

RIPOTI YA ZIARA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. BALOZI DKT. BASHIRU ALLY KAKURWA, TALIRI

RIPOTI YA ZIARA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. BALOZI DKT. BASHIRU ALLY KAKURWA, TALIRI

«Где ваша вода?» — спросил заместитель министра Кундо Амбана, подрядчик Рвакаджунджу.

«Где ваша вода?» — спросил заместитель министра Кундо Амбана, подрядчик Рвакаджунджу.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]