ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

HUYU NDIYE DK BASHIRU: MSOMI na MFUASI 'MTATA' wa MWALIMU NYERERE - MATAMSHI YAKE YAZUA MANENO MENGI

GLOBAL TV ONLINE

HABARI MPYA

GLOBAL TV

BREAKING NEWS

DK BASHIRU

RAIS SAMIA

MAISHA YA DK BASHIRU

HISTORIA YA DK BASHIRU

HUYU NDIYE DK BASHIRU: MSOMI na MFUASI ‘MTATA’ WA MWALIMU NYERERE...

MAKALA ZA KUSISMUA

RAI SAMIA HASSAN

HAYATI MAGUFULI

Автор: Global TV Online

Загружено: 2023-02-02

Просмотров: 139356

Описание: HUYU NDIYE DK BASHIRU: MSOMI na MFUASI 'MTATA' wa MWALIMU NYERERE - MATAMSHI YAKE YAZUA MANENO MENGI

Machi 31, 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko ya safu ya utawala wake mara tu baada ya kuchukua hatamu kutoka kwa Hayati Dk John Pombe Magufuli aliyetangulia Mbeya haki siku ile ya Machi 17, 2021.

Siku hiyo Rais Samia alifanya teuzi; alimteua aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Mipango na Fedha akichukua nafasi ya Dk Philip Mpango ambaye siku hiyohiyo aliapishwa kuwa Makamu wa Rais.

Kisha alimteua aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Bashiru Ally Kakurwa kuwa Mbunge wa Kuteuliwa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kabla ya hapo, uteuzi wa Dk Bashiru kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi uliofanywa na Hayati Magufuli haukutarajiwa na ulizua maneno mengi, lakini wengi waliamini anaweza kuitumikia vyema nafasi hiyo kabla ya kuondolewa na Rais Samia na kubaki kuwa Mbunge wa Kuteuliwa na Rais ambaye ana nafasi kumi za kuteua wabunge kikatiba.

Kwa nini Dk Bashiru anazungumzwa sasa? Ni kwa sababu katika Mkutano wa 10 wa Bunge linaloendelea jijini Dodoma ametoa hoja iliyoibua mjadala mzito.

Dk Bashiru amezungumzia mfumko wa bei akisema ‘njaa’ inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi na inatweza utu wa binadamu.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES  

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
HUYU NDIYE DK BASHIRU: MSOMI na MFUASI 'MTATA' wa MWALIMU NYERERE - MATAMSHI YAKE YAZUA MANENO MENGI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

🔴LIVE: ODEMBA anambana mbunge wa Afrika Mashariki, MAUAJI NA VURUGU ZA OKT 29, madai ya KATIBA...

🔴LIVE: ODEMBA anambana mbunge wa Afrika Mashariki, MAUAJI NA VURUGU ZA OKT 29, madai ya KATIBA...

UTATA KIFO CHA KAWAWA/ALITOKA NYUMBANI MZIMA/ALINIOA NIKIWA NA WATOTO/TOFAUTI ZA FAMILIA ZILIKUWEPO

UTATA KIFO CHA KAWAWA/ALITOKA NYUMBANI MZIMA/ALINIOA NIKIWA NA WATOTO/TOFAUTI ZA FAMILIA ZILIKUWEPO

HISTORIA: RAIS Aliyekatwa Masikio Akiwa Hai, Na Yeye Aliwakata Wengine

HISTORIA: RAIS Aliyekatwa Masikio Akiwa Hai, Na Yeye Aliwakata Wengine

KAMATI YA MARIDHIANO SIX PART 3/4 MDAHALO NYERERE FOUNDATION 04 AUG 2014

KAMATI YA MARIDHIANO SIX PART 3/4 MDAHALO NYERERE FOUNDATION 04 AUG 2014

MZEE MAKAMBA ALIPUKA, AMCHANA MAKAVU DKT. BASHIRU WAZI WAZI

MZEE MAKAMBA ALIPUKA, AMCHANA MAKAVU DKT. BASHIRU WAZI WAZI" WEWE UNA TATIZO GANI?, MAGUFULI..JEMBE"

HUKUMU YA MAHAKAMA YAMUIBUA SHEIKH PONDA/MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AGONGA MWAMBA/BAKWATA YAKALI..

HUKUMU YA MAHAKAMA YAMUIBUA SHEIKH PONDA/MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AGONGA MWAMBA/BAKWATA YAKALI..

RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA -

RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA - "WEWE na BABA ni MARAFIKI, Kwanini Mmekuwa WAONGO?

DKT BASHIRU BUNGENI ; BAADHI YETU TUNA WASIWASI MKUBWA

DKT BASHIRU BUNGENI ; BAADHI YETU TUNA WASIWASI MKUBWA "SPIKA NAKUVUNJIA JESHIMA AMTAJA MAGUFULI

MAOMBI YA WATANZANIA KILICHOTOKEA VENEZUELA YAMUIBUA MWANDISHI WA BBC,, ATOA NENO ZITOO,, SIKILIZA

MAOMBI YA WATANZANIA KILICHOTOKEA VENEZUELA YAMUIBUA MWANDISHI WA BBC,, ATOA NENO ZITOO,, SIKILIZA

POLEPOLE: MIMI KIROBOTO/NIKIFUKUZWA CCM/NAPE BASTOLA/BEN SANANE&AZORY/NILIOMBA HELA WAGOMBEA/BULEMBO

POLEPOLE: MIMI KIROBOTO/NIKIFUKUZWA CCM/NAPE BASTOLA/BEN SANANE&AZORY/NILIOMBA HELA WAGOMBEA/BULEMBO

ODERO KUHUSU RAIS SAMIA - LISSU - '''ALIENDA KUMUONA AKIPAMBANIA UHAI WAKE' - AFUTE MASHTAKA''...

ODERO KUHUSU RAIS SAMIA - LISSU - '''ALIENDA KUMUONA AKIPAMBANIA UHAI WAKE' - AFUTE MASHTAKA''...

MUGABE: Rais Aliyepania Kuwakomesha WAZUNGU Wakakoma Watu Wake!

MUGABE: Rais Aliyepania Kuwakomesha WAZUNGU Wakakoma Watu Wake!

BALAA MADELEKA AFUNGUKA HAYA ''NAIJUA TUME VIZURI'/SERIKALI INAUWEZO WA KUZUIA HAYA YANAYOENDELEA''

BALAA MADELEKA AFUNGUKA HAYA ''NAIJUA TUME VIZURI'/SERIKALI INAUWEZO WA KUZUIA HAYA YANAYOENDELEA''

⚡️СРОЧНО! Рубио ПУБЛИЧНО ОБРАТИЛСЯ ко всем! ПЕРВАЯ РЕАКЦИЯ на ЗАДЕРЖАНИЕ МАДУРО уже повсюду

⚡️СРОЧНО! Рубио ПУБЛИЧНО ОБРАТИЛСЯ ко всем! ПЕРВАЯ РЕАКЦИЯ на ЗАДЕРЖАНИЕ МАДУРО уже повсюду

MFAHAMU JOEL ARTHUR NANAUKA

MFAHAMU JOEL ARTHUR NANAUKA

Ifahamu Historia ya Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania: Kutoka Special Branch Hadi TISS

Ifahamu Historia ya Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania: Kutoka Special Branch Hadi TISS

Historia ya PAUL KAGAME Mkimbizi Nchini Uganda Hadi Kuwa Rais wa RWANDA

Historia ya PAUL KAGAME Mkimbizi Nchini Uganda Hadi Kuwa Rais wa RWANDA

HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu

HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu

DKT.SLAA LEO TAR-4:MAZITO USIYOYAJUA, YANAYOFANYWA NA RAIS SAMIA KUIMALIZA CHADEMA 2026.TUNDU LISSU

DKT.SLAA LEO TAR-4:MAZITO USIYOYAJUA, YANAYOFANYWA NA RAIS SAMIA KUIMALIZA CHADEMA 2026.TUNDU LISSU

CHADEMA Yamjibu Dk Mwigulu:  Wataka Uwajibikaji Kuponya Taifa, 'Serikali Inakwepa Kusema Ukweli'

CHADEMA Yamjibu Dk Mwigulu: Wataka Uwajibikaji Kuponya Taifa, 'Serikali Inakwepa Kusema Ukweli'

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]