AWESO AACHA KICHEKO KWA WAKAZI WA SIKONGE
Автор: SIKONGE DC TV
Загружено: 2026-02-08
Просмотров: 146
Описание:
Waziri wa maji Mhe.Jumaa Aweso amefanya ziara wilayani Sikonge na kufungua maji katika mradi wa maji ya ziwa victoria unaotarajiwa kuwanufaisha wakazi wa mji wa Sikonge,Urambo na Kaliua.
Katika ziara hiyo waziri Aweso amewataka wananchi kuutunza mradi huo ili uwanufaishe kwa kipindi cha muda mrefu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: