#TAZAMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2022-12-07
Просмотров: 920
Описание:
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) imewakamata watuhumiwa saba wanaodaiwa kujihusisha na Usafirishaji wa dawa za Kulevya kilo 16. 643.
Akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) Gerald Kusaya amesema watuhumiwa hao wamekamatwa katika harakati za kusafirisha Dawa za kulevya kwenda nje ya nchi.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: