JINSI MAITI ZINAVYOTUMIKA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA
Автор: CHAMPION HABARI
Загружено: 2025-07-09
Просмотров: 16042
Описание:
JINSI MAITI ZINAVYOTUMIKA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA
Katika kipindi cha Mwezi Mei hadi Julai, 2025, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni katika maeneo mbalimbali nchini na kukamata dawa za kulevya jumla ya kilogramu 37,197.142.
Dawa hizo zinajumuisha, kilogramu 11,031.42 za dawa mpya za kulevya (New Psychoactive Substance) aina ya Mitragyna Speciosa, bangi kilogramu 24,873.56, mirungi kilogramu 1,274.47, skanka kilogramu 13.42, heroin kilogramu 2.21 na methamphetamine gramu 1.42. Pia, ukamataji huo umehusisha dawa tiba zenye asili ya kulevya aina ya ketamine kilogramu 1.92, Fluni-trazepam (rohypnol) vidonge 1000, lita 6 za kemikali bashirifu aina ya hydrochloric acid na uteketezaji wa ekari 1,045.5 za mashamba ya bangi. Kadhalika, kilogram 26 za dawa za kulevya aina ya heroin, zilizokuwa ziingizwe nchini kutokea nchini Msumbiji zilizuiwa. Watuhumiwa 64 walikamatwa wakihusishwa na dawa hizo.
Katika operesheni iliyofanyika bandari kavu eneo la Temeke jijini Dar es Salaam, kilogramu 11,031.42 za dawa za kulevya aina ya Mitragyna speciosa zilizoingizwa nchini kutokea nchini Sri Lanka zilikamatwa zikiwa kwenye vifungashio vyenye chapa inayoonesha kuwa ndani yake kuna mbolea.
Mitragyna speciosa iko katika kundi la dawa mpya za kulevya zinazotokana na mimea inayofahamika kwa jina la “Kratom” mmea huu unakemikali aina ya Mitragynine na 7-Hydroxymitragynine (7-HMG) ambayo inasifa ya vichangamshi (stimulants) na vipumbaza (depresants) vyenye madhara ya kiafya kwa mtumiaji kwani huathiri mfumo wa fahamu na kusababisha uraibu hata kupelekea vifo vya ghafla.
Katika operesheni iliyofanyika eneo la Posta jijini Dar es Salaam, watuhumiwa sita, wakiwemo raia wawili wa China wanaofahamika kwa majina ya Chein Bai na Qixian Xin walikamatwa wakisafirisha dawa za kulevya aina ya Methamphetamine gramu 1.42, dawa tiba zenye asili ya kulevya aina ya frunitrazepam (rohypnol) vidonge 1,000 na Ketamine zenye uzito wa Kilogramu 1.92.
SIMBA NA YANGA
MECHI YA DERBY
DERBY YA KARIAKOO
KUFUNGWA KWA KANISA LA GWAJIMA
JOSEPHAT GWAJIMA
MBUNGE WA KAWE
MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA
RAIS SAMIA SULUHU
JAKAYA KIKWETE
WAZIRI MKUU MAJALIWA
CCM DODOMA
FAINALI YA BERKANE VS SIMBA
UWANJA WA AMANI ZANZIBAR
WAARABU MOROCCO WAIPIGIA SALUTI SIMBA
UWANJA WA BENJAMIN MKAPA
#shorts #viralshorts #simbasc #simbavsrsbeekane #amanizanzibar #uwanjawaamani #benjaminmkapa #eliempanzu #yanga #yangasc #cafchampionleague #cafconfiderationcup #rsberkane #uwanjawamkapa #simbavsyanga #millardayo #globaltvonline #ayomatv #jambotv #wasafi #wasafitv #wasafimedia #wasafifm #ahmedally #cloudsfm #jeancharlesTelegram:
Karibu upate Habari za uhakika hapa Champion Habari
Habari za Siasa | Kijamii | Michezo | Burudani na Uchambuzi.
WASILIANA NASI
+255 655 100 695
Email: [email protected]
Follow us Instagram: championhabari
Instagram:https://www.instagram.com/champion_ha...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: