ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

🔴

Автор: Global TV Online

Загружено: 2023-12-27

Просмотров: 65171

Описание: 🔴#BREAKING: MAPAPA wa DAWA za KULEVYA WAKAMATWA KIGAMBONI -WANATAFUTWA DUNIANI KOTE - "KILO 3,182"..

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ya Tanzania (DCEA) imekamata jumla ya kilogramu 3,182 za dawa za kulevya aina ya heroin na methamphetamine katika operesheni maalum iliyofanyika jijini Dar es Salaam na Iringa kati ya tarehe 5 hadi 23 mwezi Disemba, 2023. Watu saba wamekamatwa kuhusika na dawa hizo ambapo wawili kati yao wana asili ya Asia.

Kiasi hiki cha dawa za kulevya kinajumuisha kilogramu 2,180.29 za dawa aina ya methamphetamine na kilogramu 1001.71 aina ya heroin zilizokamatwa katika wilaya za Kigamboni, Ubungo na Kinondoni jijini Dar es Salaam pamoja na wilaya ya Iringa mkoani Iringa.

Ukamataji huu umehusisha kiasi kikubwa cha dawa za kulevya ambacho hakijawahi kukamatwa katika historia ya Tanzania tangu kuanza kwa shughuli za udhibiti wa dawa za kulevya. Hivyo, watuhumiwa waliokamatwa ni miongoni mwa mitandao mikubwa ya wauzaji wa dawa za kulevya inayofuatiliwa nchini na duniani.

Aidha, dawa hizi zilizozikamata zilikuwa zimefungashwa kwenye vifungashio vya bidhaa zenye chapa mbalimbali za kahawa na majani ya chai. Mbinu hii inatumika kwa lengo la kurahisisha usafirishaji wake na kukwepa kubainika.
Ukiacha dawa ya heroin inayotengenezwa kwa mchanganyiko wa kemikali kutoka kwenye mimea ya afyuni (opium popy) inayolimwa katika nchi za Asia na baadhi ya kutoka Amerika, dawa aina ya methamphetamine ni dawa mpya ya kulevya iliyopo katika kundi la vichangamshi sawa na cocaine.

Dawa hii huwa kwenye mfumo wa vidonge, unga au chembechembe mithili ya chumvi ang’avu yenye rangi mbalimbali ambayo huzalishwa kwenye maabara bubu kwa kuchanganya aina mbalimbali za kemikali bashirifu.
Dawa hii ni hatari kwa afya ya mtumiaji, madhara yake ni makubwa na hayatibiti kirahisi kwani mtumiaji hupata madhara ya kudumu kwenye ubongo na hivyo hupunguza uwezo wa kutunza kumbukumbu, kusababisha uraibu na kuathiri mfumo mzima wa fahamu.

Kiasi cha dawa za kulevya zilizokamatwa, endapo zingefanikiwa kuingia mtaani zingeweza kuathiri zaidi ya watu 76,368,000 kwa siku. Hivyo, ukamataji huu umeokoa nguvu kazi ambayo ingeangamia kutokana na madhara yatokanayo na matumizi ya dawa za kulevya ndani na nje ya nchi.
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa a Kulevya, inatoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Mamlaka kwani mafanikio haya yametokana na ushirikiano unaotokana na wananchi wanaotoa taarifa juu ya watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya ikiwa ni pamoja na weledi na uzalendo mkubwa wa maafisa wa Mamlaka katika udhibiti wa biashara ya dawa za kulevya.

Pia, Mamlaka inatoa onyo kwa wote wanaoendelea kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya hapa nchini kuacha badala yake wajikite kwenye biashara nyingine halali kwani Mamlaka imejizatiti kukomesha biashara ya dawa za kulevya kwa kufanya operesheni katika maeneo mbalimbali nchini.

Aidha,Mamlaka inaishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuiwezesha Mamlaka katika kutekeleza kazi zake kwa ufanisi mkubwa.
Tukishirikiana, kwa umoja wetu tutaweza kuokoa vizazi vyetu na taifa letu dhidi ya tatizo la dawa za kulevya.

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
🔴

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

GWIJI WA KUUZA DAWA ZA KULEVYA ADAKWA KAMISHNA JENERALI AFUNGUKA MAZITO/ ANAMTANDAO DUNIA NZIMA

GWIJI WA KUUZA DAWA ZA KULEVYA ADAKWA KAMISHNA JENERALI AFUNGUKA MAZITO/ ANAMTANDAO DUNIA NZIMA

KILOGRAMU  798.893 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA ZANZIBAR OCT-DEC 2024, SHISHA ZATAJWA PIA

KILOGRAMU 798.893 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA ZANZIBAR OCT-DEC 2024, SHISHA ZATAJWA PIA

KIBOKO wa DAWA za KULEVYA WALIVYONASWA DAR WAKIWA na DAWA ZAO..

KIBOKO wa DAWA za KULEVYA WALIVYONASWA DAR WAKIWA na DAWA ZAO..

VIBWENGO BARABARANI USIKU, BILIONEA WA MALORI “MAUZAUZA YAPO, MENGINE KISINGIZIO”

VIBWENGO BARABARANI USIKU, BILIONEA WA MALORI “MAUZAUZA YAPO, MENGINE KISINGIZIO”

RAIA WA PAKISTAN WALIVYONASWA NA DAWA ZA KULEVYA KATIKA JAHAZI

RAIA WA PAKISTAN WALIVYONASWA NA DAWA ZA KULEVYA KATIKA JAHAZI "TUMEWAPELEKA MAHAKAMANI"

Mambo ya kutegemea ukikaa ukweni

Mambo ya kutegemea ukikaa ukweni

RAIS SAMIA USO KWA USO NA FATHER KITIMA MSIBANI KWA MWADHAMA PENGO, ATOA NENO, AWATANIA CHADEMA

RAIS SAMIA USO KWA USO NA FATHER KITIMA MSIBANI KWA MWADHAMA PENGO, ATOA NENO, AWATANIA CHADEMA

Ukiona haya Jua una Hasad ndani yako - Sheikh Shams Elmi

Ukiona haya Jua una Hasad ndani yako - Sheikh Shams Elmi

Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya

Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya

Чеченские авторитеты: как контролировали Москву в 90-х

Чеченские авторитеты: как контролировали Москву в 90-х

WATU WAWILI WALIVYOKAMATWA WAKISAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA...

WATU WAWILI WALIVYOKAMATWA WAKISAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA...

The Story Book: EL CHAPO ‘Gwiji la Mauaji na Madawa Ya Kulevya’ PART 2

The Story Book: EL CHAPO ‘Gwiji la Mauaji na Madawa Ya Kulevya’ PART 2

Fahamu vipengele vyenye ukakasi Sheria ya Usalama wa Taifa

Fahamu vipengele vyenye ukakasi Sheria ya Usalama wa Taifa

"ALIWANYOOSHA SANA" ASKOFU WOLFGANG PISA Azungumza Namna Kadinali Pengo Alivyoliendesha Kanisa

Экстренный вызов | 26 февраля 2026 | Происшествия Новосибирской области | Телеканал ОТС

Экстренный вызов | 26 февраля 2026 | Происшествия Новосибирской области | Телеканал ОТС

PADRI KITIMA ALIVYOWACHEKESHA VIONGOZI wa SERIKALI HADI MAMA MAGUFULI KANISANI...

PADRI KITIMA ALIVYOWACHEKESHA VIONGOZI wa SERIKALI HADI MAMA MAGUFULI KANISANI...

BSS 2023 SN 14   EPISODE 05 DAR PART 1

BSS 2023 SN 14 EPISODE 05 DAR PART 1

Время расплаты за войну? Правительство признало проблемы в экономике и теперь ищет выход из кризиса

Время расплаты за войну? Правительство признало проблемы в экономике и теперь ищет выход из кризиса

The MYSTERIOUS DISAPPEARANCES of Mwenda Mbijiwe and Dafton Mwitiki |James Khwatenge|Plug Tv Kenya

The MYSTERIOUS DISAPPEARANCES of Mwenda Mbijiwe and Dafton Mwitiki |James Khwatenge|Plug Tv Kenya

ÔNG ĐINH LA THĂNG “RA TÙ” VÀ NHỮNG CÂU HỎI PHÁP LÝ

ÔNG ĐINH LA THĂNG “RA TÙ” VÀ NHỮNG CÂU HỎI PHÁP LÝ

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]