ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

BIBI wa MIAKA 70 ALIYEKAMATWA na DAWA za KULEVYA HEROINE AFUNGUKA UKWELI WOTE - "HAWAKUZIKUTA NDANI"

Автор: Global TV Online

Загружено: 2022-04-05

Просмотров: 90338

Описание: BIBI wa MIAKA 70 ALIYEKAMATWA na DAWA za KULEVYA HEROINE AFUNGUKA UKWELI WOTE - "HAWAKUZIKUTA NDANI"...

Baada ya jeshi la polisi mkoa wa Manyara kutoa taarifa kwa Waandishi wa habari juu ya kumshikilia bibi kikogwe mwenye miaka 70 kwa tuhuma za kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin, katika mtaa wa Maisaka (B) mjini Babati mkoa wa Manyara, leo Bibi huyo amefunguka juu ya mkasa huo ambapo ametusimulia kwakina namna alivyokamatwa na askari mpaka alipofikishwa kituo cha polisi Babati.

Aidha mpaka sasa kikogwe mwenye miaka 70 yupo nje kwa dhamana kutokana na changamoto za kiafya huku akitakiwa kuripoti tena siku ya Alhamisi katika kituo cha polisi Babati mkoani Manyara.

Akizungumza Kikogwe huyo amesema siku ya tukio hilo la kukamatwa kwake alikutwa nyumbani kwake akiwa amelala ndani kutokana nakuwa alikuwa mgonjwa ndipo alipoitwa na askari nakuelezwa kuhusu dawa za kulevya kukutwa katika eneo la nyumba yake.

Hata hivyo kikongwe huyo ametueleza kuwa siku ya tukio hilo, hakukuwa na jirani wala kiongozi wa mtaa wakati wa zoezi la kukaguliwa nyumba yake ndipo alipo kamatwa na kufikishwa katika kituo cha polisi Babati.

Aidha global tv Online imezungumza na Mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka (B) halmashauri ya mji wa Babati Bw Issa Mnyaruge ambapo amesema siku hiyo hakuwepo alikuwa safarini ndipo alipopigiwa simu na kuelezwa juu ya tukio hilo.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES  

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750 910), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
BIBI wa MIAKA 70 ALIYEKAMATWA na DAWA za KULEVYA HEROINE AFUNGUKA UKWELI WOTE - "HAWAKUZIKUTA NDANI"

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA -

RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA - "WEWE na BABA ni MARAFIKI, Kwanini Mmekuwa WAONGO?

🔴#Live: WOLPER AFUNGUKA KUKASIRIKIANA NA KAJALA KISA HARMONIZE | DR BABISHOMBA AFUNGUKA MAZITO

🔴#Live: WOLPER AFUNGUKA KUKASIRIKIANA NA KAJALA KISA HARMONIZE | DR BABISHOMBA AFUNGUKA MAZITO

#LIVE: RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA YA KUMUAGA MWADHAMA KARDINALI PENGO MUDA HUU

#LIVE: RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA YA KUMUAGA MWADHAMA KARDINALI PENGO MUDA HUU

Te skecze przejdą do historii! - Kabaret Moralnego Niepokoju - Wielki Test o Historii i Skojarzenia

Te skecze przejdą do historii! - Kabaret Moralnego Niepokoju - Wielki Test o Historii i Skojarzenia

Part tow of profiling 1to 4 Acre Parish Model Farmers in Kibaale District

Part tow of profiling 1to 4 Acre Parish Model Farmers in Kibaale District

ZIOBRO UCIEKNIE na Białoruś? | Dominika Wielowieyska 27.02.2026

ZIOBRO UCIEKNIE na Białoruś? | Dominika Wielowieyska 27.02.2026

RAIS SAMIA USO KWA USO NA FATHER KITIMA MSIBANI KWA MWADHAMA PENGO, ATOA NENO, AWATANIA CHADEMA

RAIS SAMIA USO KWA USO NA FATHER KITIMA MSIBANI KWA MWADHAMA PENGO, ATOA NENO, AWATANIA CHADEMA

🔴#Live: RAIS SAMIA YUPO KANISANI AKISHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO...

🔴#Live: RAIS SAMIA YUPO KANISANI AKISHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO...

BIBI wa MONALISA AFARIKI DUNIA - ''ALITELEZA AKAANGUKA - AKAVUNJIKA MFUPA WA NYONGA''...

BIBI wa MONALISA AFARIKI DUNIA - ''ALITELEZA AKAANGUKA - AKAVUNJIKA MFUPA WA NYONGA''...

Historia ya Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo |  Alitangazwa kuwa Kardinali na Papa John Paul II 1998

Historia ya Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo | Alitangazwa kuwa Kardinali na Papa John Paul II 1998

PADRI KITIMA ALIVYOWACHEKESHA VIONGOZI wa SERIKALI HADI MAMA MAGUFULI KANISANI...

PADRI KITIMA ALIVYOWACHEKESHA VIONGOZI wa SERIKALI HADI MAMA MAGUFULI KANISANI...

Straszna PRAWDA o KSeF. Dr Artur Bartoszewicz

Straszna PRAWDA o KSeF. Dr Artur Bartoszewicz

VIDEO: RAIS SAMIA ALIVYOTOA HESHIMA KWENYE JENEZA LENYE MWILI wa KARDINALI PENGO...

VIDEO: RAIS SAMIA ALIVYOTOA HESHIMA KWENYE JENEZA LENYE MWILI wa KARDINALI PENGO...

Zbigniew BOGUCKI kontra Waldemar ŻUREK

Zbigniew BOGUCKI kontra Waldemar ŻUREK

Bogucki ZNÓW MIAŻDŻY Tuska! „To jest państwo z dykty i kłamstwa!”

Bogucki ZNÓW MIAŻDŻY Tuska! „To jest państwo z dykty i kłamstwa!”

MIAKA 7 KITANDANI YA ANNA MASSAWE BAADA YA AJALI KUBWA KUKATISHA NDOTO ZAKE (PART 1)

MIAKA 7 KITANDANI YA ANNA MASSAWE BAADA YA AJALI KUBWA KUKATISHA NDOTO ZAKE (PART 1)

ISSA AZAM Afichua DIAMOND ALIVYOFUKUZWA THT -

ISSA AZAM Afichua DIAMOND ALIVYOFUKUZWA THT - "KAMA HUJUI KINGEREZA EP ya SIMBA HUWEZI KUELEWA"

PADRI KITIMA ALIVYOMTAMBULISHA MAMA MAGUFULI - LOWASA na MAJALIWA MBELE ya RAIS SAMIA....

PADRI KITIMA ALIVYOMTAMBULISHA MAMA MAGUFULI - LOWASA na MAJALIWA MBELE ya RAIS SAMIA....

Żurek ripostuje Boguckiego.

Żurek ripostuje Boguckiego. "Będziesz siedział!". Wrzawa w Sejmie | Spór o KRS #sejm #polityka

JENERALI MABEYO APIGIWA MAKOFI MENGI ALIPOTAMBULISHWA na PADRI KITIMA KANISANI MBELE ya RAIS SAMIA

JENERALI MABEYO APIGIWA MAKOFI MENGI ALIPOTAMBULISHWA na PADRI KITIMA KANISANI MBELE ya RAIS SAMIA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]