UFUGAJI WA KUKU UNANIPA HELA YA UHAKIKA ! NA SOKO LA MAYAI LIPO WAZI
Автор: Rubaba Tv
Загружено: 2026-03-07
Просмотров: 131
Описание:
Tunapenda kukupa fursa ya kipekee msimu huu wa sikukuu! Pata Miongozo yote ya Kilimo na Ufugaji kwa Bei Moja. Miongozo hii imejaa maarifa muhimu yatakayokusaidia kuboresha kilimo na ufugaji wako na kukupeleka hatua moja mbele kuelekea mafBaada ya kukamilisha semina ya wafugaji mjini Bukoba, tulipata fursa ya kutembelea shamba la ndugu Fred Mgishja, mfugaji wa kuku anayejishughulisha na uzalishaji wa mayai kibiashara. Katika ziara hii tulifanya mazungumzo ya kina kuhusu mbinu bora za ufugaji wa kuku wa mayai, usimamizi sahihi wa banda, lishe ya kuku, pamoja na namna ya kuongeza tija katika uzalishaji.
Ndugu Fred amekuwa mtumiaji wa muda mrefu wa bidhaa za Koudijs, lakini kwa kipindi fulani aliacha kutumia kutokana na changamoto ya upatikanaji wa bidhaa hizo katika eneo la Bukoba. Hata hivyo, kwa sasa amerejea tena kutumia bidhaa hizo baada ya kuwepo kwa wakala wa uhakika anayesambaza bidhaa za Koudijs katika maeneo ya Bukoba na Kagera kwa ujumla.
Katika video hii, utasikia uzoefu wake kama mfugaji, changamoto alizokutana nazo katika safari yake ya ufugaji, pamoja na sababu zilizomfanya kurejea tena kutumia bidhaa za Koudijs katika shamba lake.
Video hii pia inalenga kuwapa wafugaji wengine maarifa na motisha kuhusu umuhimu wa lishe bora, usimamizi mzuri wa ufugaji, na kutumia pembejeo sahihi ili kufikia uzalishaji wenye tija na faida katika ufugaji wa kuku wa mayai.
Karibu uangalie na ujifunze zaidi.
Usisahau:
Subscribe kwenye channel yetu kwa mafunzo zaidi ya kilimo na ufugaji
Like na share video ili kuwafikia wafugaji wengine
Andika swali au maoni yako kwenye comment
Rubaba TV – Elimu ya Kilimo na Ufugaji kwa Vitendo. 🐔🌱anikio.
#ufugajiwakuku
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: