Swine Fever Explained: A Deadly Pig Disease with No Cure or Vaccine
Автор: Rubaba Tv
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 165
Описание:
🎙️ SHAMBA TALKS – EPISODE 02
Mada: Swine Fever (Homa ya Nguruwe) – Uelewa wa Kisayansi kwa Mfugaji
Katika episode ya pili ya podcast yetu ya Shamba Talks, tunazungumzia kwa kina ugonjwa hatari wa Swine Fever (Homa ya Nguruwe) ambao kwa sasa unaonekana kuleta changamoto kubwa kwa wafugaji wengi.
Katika kipindi hiki utajifunza:
Swine Fever ni nini kwa lugha rahisi
Aina za Swine Fever (African Swine Fever vs Classical Swine Fever)
Kwa nini African Swine Fever ni kali zaidi
Namna ugonjwa unavyoenea kisayansi (hadi ngazi ya seli)
Dalili za awali mfugaji anapaswa kuzitambua
Umuhimu wa biosecurity na tahadhari za msingi shambani
Umuhimu wa kushirikiana na Maafisa Mifugo na mamlaka husika
🎯 Lengo la episode hii ni kuelimisha mfugaji, kumsaidia kuelewa ugonjwa huu kwa mtazamo wa sayansi, na kuchukua hatua sahihi mapema bila kuvunja sheria.
⚠️ Angalizo:
Maudhui haya ni kwa elimu ya jumla. Endapo mfugaji atahisi dalili za Swine Fever katika shamba lake, anashauriwa kuwahusisha mara moja Maafisa Mifugo na Serikali za Mitaa.
🔔 Endelea kutusikiliza Shamba Talks kwa elimu sahihi, ya vitendo, na inayojengwa juu ya sayansi ya kilimo na ufugaji.
#SwineFever #UfugajiWaNguruwe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: