Nguruwe Anaweza Kukupa Milioni 1 Ndani ya Miezi 6? Ukweli wa Kitaalamu
Автор: Rubaba Tv
Загружено: 2026-01-28
Просмотров: 3880
Описание:
Je, nguruwe anaweza kweli kukufikisha hadi zaidi ya shilingi milioni 1 ndani ya miezi 6?
Au ni hadithi tu ambayo imezoeleka kusambazwa kwenye vijiwe na mitandaoni?
Katika Episode ya Kwanza ya podcast hii, nimechambua kwa kina ukweli wa kitaalamu kuhusu:
Ukuaji halisi wa nguruwe (kg 90–110+ ndani ya miezi 5–6)
Imani potofu zinazowafanya wafugaji wengi washindwe kufikia faida kubwa
Hesabu rahisi za mapato kulingana na uzito na bei ya soko
Makosa ya kawaida yanayopunguza uzito na faida ya nguruwe
Umuhimu wa elimu sahihi katika ufugaji wa kisasa
🎯 Lengo la podcast hii ni kutoa elimu ya vitendo kwa wafugaji wa nguruwe, kuku na miradi mingine ya mifugo ili kuwasaidia kufanya ufugaji kama biashara, siyo mazoea.
Katika episodes zijazo tutazungumzia kwa undani:
Aina sahihi ya chakula cha kuku na nguruwe
Ratiba za ukuaji na uzalishaji
Gharama halisi vs faida
Masoko na mbinu za kupunguza hasara
Ushauri kutoka kwa wataalamu na wafugaji waliobobea
📌 Kama wewe ni:
Mfugaji anayeanza
Mfugaji aliyekwama kimaendeleo
Au mtu anayependa kuwekeza kwenye ufugaji kibiashara
Podcast hii ni kwa ajili yako.
👉 Subscribe, like na share ili usikose episode zijazo.
Maswali yako ya ufugaji unaweza kuyaacha kwenye comments.
#ufugajiwanguruwe
===========================
WASILIANA NASI MOJA KWA MOJA
PHONE: 0764148221 / 0679148221
EMAIL: [email protected]
WEB: HTTPS://TANZANIANAKILIMO.BLOGSPOT.COM
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: