Zaidi ya Wafugaji 300 Wajitokeza! Yaliyojiri Semina ya Koudijs Bukoba
Автор: Rubaba Tv
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 276
Описание:
Ikiwa ni muendelezo wa semina zake za kila mwaka kama sehemu ya kurudisha kwa jamii 🤝🌱, Kampuni ya @koudijstanzania hivi karibuni imefanya semina kubwa ya wafugaji mjini Bukoba 📍.
Semina hiyo haikulenga tu kutoa elimu ya lishe kwa wafugaji wa kuku 🐔 na nguruwe 🐖, bali pia kuwajengea uwezo wa kufanya ufugaji wa kibiashara kwa tija na faida 💼📈.
Zaidi ya wafugaji 300 walijitokeza 🙌 na kunufaika na mafunzo hayo, wakipata maarifa ya kitaalamu yatakayowasaidia kuongeza uzalishaji na mapato yao 📊💰.
Kama hukubahatika kushiriki semina ya Bukoba, usikose fursa ijayo! 🚀
Semina inayofuata inatarajiwa kufanyika Arusha na maeneo ya jirani 📍.
Kama upo Arusha au maeneo ya karibu, jiandikishe mapema ⏳ ili nawe unufaike na elimu ya ufugaji wa kisasa na kibiashara 🧠🐄.
📩 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: