#🔴WATUMISHI TUWE NA LUGHA NZURI KWA WANANCHI📍/KLINIKI YA KUTATUA KERO KATA YA KAMWANGA🔴DC ACHARUKA.
Автор: Smile Media
Загружено: 2024-10-30
Просмотров: 221
Описание:
WATUMISHI WA UMMA TUWE NA LUGHA NZURI KWA WANANCHI.
Katika kuendelea kusikiliza na kutatua kero za Wananchi wilaya ya Longido Mkuu wa Wilaya hiyo Salum Kalli ameendelea na Kliniki ya kutatua kero za wananchi ambapo tarh 29 novemba ametembelea Tarafa ya Enduimet kata ya Kamwanga na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo juu ya changamoto wanazikutana nazo.
Kalli,amefanya mikutano miwili ya hadhara katika kata hiyo.
Aidha Kalli amewataka watumishi wa Umma idara zote kutumia lugha za staha kwa wananchi wanapotoa huduma mbali mbali za kijamii.
Akijibu hoja zilizotolewa na wananchi hao juu ya kupatiwa eneo kwa ajili ya ujenzi wa Bweni kwa ajili ya shule ya Sekondari Kamwanga,Kalli amesema swala hilo atalisimamia na kuhakikisha eneo hilo linaptikana kwa kushirikisha wadau mbali mbali kutoka Tawa,na Tfs.
Aidha Kalli,ametolea majibu swala la upatikanaji wa mikopo ya asilimia 10 anayotolewa katika halmashauri lwa kina mama,vijana na watu wenye mahitaji maalum.
Kalli,amemuelekeza Afisa maendeleò kuhakikisha vikundi vya vijana na kina mama wa kata hiyo vipewe kipaumbele ili kukwamua uchumi kwa wananchi hao.
katika ziara hiyo Kalli,ameambatana na kamati ya ulinzi na usalama,wakuu wa idara za halmashauri na viongozi wa kimila wa kabila la kimaasai(Laigwanan)
#tanzania #skysports #magazetiyamichezo #michezo #kigoma #yangatv #premierleague #magazeti #habari #soka
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: