James Millya afungua ofisi ya pili ya mbunge Terrat,amteua Ole Njidai kuwa Katibu
Автор: Orkonerei Digital
Загружено: 2025-12-12
Просмотров: 2408
Описание:
Mbunge wa Simanjiro kupitia CCM James Kinyasi Ole Millya ambaye pia ni Naibu waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amefungua ofisi ya pili ya mbunge katika jimbo lake na kumteua Ndg Papaye Ole Njidai kuwa katibu katika ukanda wa Simanjiro Proper.
Akizungumza wakati wa ufunguzi huo Ole Milllya amewaomba wakaazi wa Simanjiro kuvunja makundi ya kisiasa na kushikamana ili kuhakikisha maendeo yanapatikana Simanjiro.
Kwa upande wake katibu Ole Njidai ameahidi kumuwakilisha vyema mbunge Millya katika eneo lake atakalo tumikia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: