RC RUVUMA AKABIDHI GARI LA ZIMAMOTO NYASA
Автор: RUVUMA RS
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 29
Описание:
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amekabidhi gari jipya la zimamoto lenye thamani ya shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya kutoa huduma za kuzima moto na uokoaji katika Wilaya ya Nyasa.
Akizungumza katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Mbamba Bay, RC Ahmed amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira ya dhati ya kulinda maisha na mali za wananchi kwa kuboresha miundombinu pamoja na vitendea kazi vya vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na uokoaji.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: