ZAIDI YA WATU 4,000 WAJIUNGA NA BIMA YA AFYA KWA WOTE RUVUMA
Автор: RUVUMA RS
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 21
Описание:
Mpango wa bima ya afya kwa wote katika mkoa wa Ruvuma ulianza kutekelezwa rasmi Februari 3, 2026. Tangu kuanza kwa utekelezaji huo, jumla ya wanufaika 4,860 wameshasajiliwa, sawa na asilimia 23 ya walengwa wa awamu ya kwanza ya mpango huo.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Louis Chomboko, ameeleza kuwa awamu hii ya kwanza ni ya majaribio na inalenga kaya zisizo na uwezo. Katika awamu hiyo, mpango unakusudia kuwasajili jumla ya watu 51,166 kutoka kaya husika.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: