MLELE: HISTORIA ya 'INYONGA' KABLA ya MUUNGANO, MAFANIKIO/USHOGA IWE ni AJENDA ya MAADHIMISHO.
Автор: The Katavi Independent
Загружено: 2023-04-24
Просмотров: 848
Описание:
The Katavi Independent || Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi kuelekea maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26,2026, Jana Aprili 24,2023 imeanza maadhimisho hayo kwa kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kufanya usafi katika kituo cha Afya Inyonga B, kuzindua vyumba 3 vya madarsa shule ya sekondari Inyonga, kufanya kongamano na michezo mbalimbali.
Mazoezi hayo yote yameongozwa na Linkoln Tamba aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo Majid Mwanga, akiwa na viongozi wengine wakiwaongoza wananchi wa mji wa Inyonga waliojitokeza.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: