USIYO YAJUA KUHUSU WILAYA YA MLELE KUONEKANA WIKI YA MWANAKATAVI
Автор: PHINU MEDIA
Загружено: 2024-10-13
Просмотров: 588
Описание:
Mheshimiwa Majid Mwanga Mkuu wa Wilaya ya Mlele amewahakikishia wananchi wa Mlele na Mkoa mzima wa Katavi kuwa, katika maadhimisho ya wiki ya mwanakatavi Mlele itashiriki kwa kishindo na kuwataka wananchi wa Katavi kutembelea banda la Mlele ili kujifunza na kupata bidhaa nyingi zinazinazotoka mlele.
#tanzania #simba #yanga #zanzibar
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: